Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Aa aaaah, Sasa ulikuwa unafanya nn? Umezid umbea binam yangu, na umeongozana na msukuma?
Eee nimemuaibishajeee akasema itabidi niwe nasafiri nae nisiwe nashangaa,basi tukaenda kariakoo nikavaa zile taiti zenye mfuko zimeandikwa utajiju nikaficha simu yangu na tablet na mkoba nikaubana kwapanii yaan nilikua nimejiandaa si utaniii basi ungechekajeee weweee