R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

Watu bana..sijui kafikiria nini huyu jamaa
 
Ule Utafiti wa vichaa nadhani walikosea ilibidi iwe kati ya watu wanne,watatu wanaugua ukichaa kwa kweli
 
Kwenye familia yenu mmefikia wanne? Wewe ndo mmoja kati ya wale wanne....
 
Watu wanacoment matusi bila kuona wako kwenye jukwaa gani!!!!
 
Ni kitu gn unakilenga hakika una maana unaijua lkn sio ktk midhaa km iyo tunawatu wa dizain tofauti,unaweza ukawapotosha je unafurahia kua mpotoshaji?
 
Yaani mie nilijua joti mwigizaji [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…