R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

Ule Utafiti wa vichaa nadhani walikosea ilibidi iwe kati ya watu wanne,watatu wanaugua ukichaa kwa kweli
 
Kwenye familia yenu mmefikia wanne? Wewe ndo mmoja kati ya wale wanne....
 
Ni kitu gn unakilenga hakika una maana unaijua lkn sio ktk midhaa km iyo tunawatu wa dizain tofauti,unaweza ukawapotosha je unafurahia kua mpotoshaji?
 
Yaani mie nilijua joti mwigizaji [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom