R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

Ule utafiti kumbe walikuwa sahihi!!
4-to-1.png
 
...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .

kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
Habari za fb hizi
 
NAUZA DECODAR YA ZUKU BEI MAELEWANO MWENYE KUITAJI ANICHEKI HAPA 0764-755730 AU 0715-755730 NIPO MWANZA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
naona watu wengi hawajasoma hiki kitabu.
 
Back
Top Bottom