Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 753
- 659
Uliweza kuwa shujaa kuukomesha utawala wa kibaguzi(appatheid) na hukuwa sycophant kwa wazungu kama alivyokuwa Bishop Desmond Tutu,aliyepata tuzo ya amani kukomesha utawala huo.Jf wadau,unamkumbuka kwa lipi?