Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 753
- 659
Mtoa mada katoa mada kwa kiswahili wewe unatoka majasho kuchangia kwa kiingereza. Si utumie tu kiswahili ndugu?mm nakumbuka Mandela for remove apatheid policy and dictator regime which upholded by Fredric de clerk in 1990s
Uliweza kuwa shujaa kuukomesha utawala wa kibaguzi(appatheid) na hukuwa sycophant kwa wazungu kama alivyokuwa Bishop Desmond Tutu,aliyepata tuzo ya amani kukomesha utawala huo.Jf wadau,unamkumbuka kwa lipi?

R.I.P N . Mandela Mungu ametoa naye ametwaa jina lake lihimidiwe
poleni ndugu zetu wazuru kwa kumpoteza shujaa, mwanamapinduzi na mpigania haki na uzalendo
aliyejaa upendo mwingi na staha asiyependa makuu jamani nimeshtukaje mabestito wangu mwenzenu?