Crashwise pia alikuwa anafahamiana sana na huyu member kimtaani, na anasema alikuwa ni mtu wa mabandiko sana, karibu kila siku yuko online!..Lakini anasema hawakuwahi kuulizana ishu ya ID kwa matumaini ya kuwa huenda watajuana baadaye!. Chelewa chelewa......!Kwa kweli yanatisha haswa, kuna umuhimu wa watu tunaofahamiana kuwa tunajuliana hali,ili linapotokea la kutokea unakuta mtu mmoja ana taarifa za huyo mtu, ulijaribu kumwuliza crashwise kama alikua anajua jina alilokuwa anatumia huku JF?
Crashwise pia alikuwa anafahamiana sana na huyu member kimtaani, na anasema alikuwa ni mtu wa mabandiko sana, karibu kila siku yuko online!..Lakini anasema hawakuwahi kuulizana ishu ya ID kwa matumaini ya kuwa huenda watajuana baadaye!. Chelewa chelewa......!
Mheshimiwa Regia,
Kwa sisi tunaojuana hakuna aliyeenda kunako mazshi yake, labda basi kama kuna aliyeshiriki amekalia kimya jambo zito hili!
Nawasifu sana watu kama wewe ambao mnatumia majina yenu halisi...Kuna advantage ambayo wengi wetu tunakuwa wazito kupokea kutokana na aidha kurithi tu hali hiyo, au kutokuwa na uhakika WA source za yale tunayobandika hapa...
Crashwise pia alikuwa anafahamiana sana na huyu member kimtaani, na anasema alikuwa ni mtu wa mabandiko sana, karibu kila siku yuko online!..Lakini anasema hawakuwahi kuulizana ishu ya ID kwa matumaini ya kuwa huenda watajuana baadaye!. Chelewa chelewa......!
Sababu ambayo inatufanya watu kutumia ID za anonym ni kubandika hapa habari ambazo hazina ukweli au uchunguzi, au za ugombanishi, au za kuwasema watu tunaokaa nao nyumba moja etc!Rest in Peace Mkuu. Kwa kweli hili ni tatizo kubwa sana na linahitaji ufumbuzi. Bado sijaona jinsi gani hili tatizo linaweza kupatiwa ufumbuzi. nafikiri itakuwa juu ya individuail member mwenyewe kama anataka kutumia username au jina kamili. Labda wakati wakati wa kujisajili members wajulishwe faida na hasara za kutumia usernames au majina kamili? Ni suala gumu kwa kweli.
Kama alivyosema dada Regia hapo juu kama mtu wa karibu akijua ID yako, itasaidia kwa kiasi fulani. Lakini still hili linategemea unamtrust vipi huyo mtu. Na jinsi sie wanadamu tunavyobadilika kama upepo, unaweza ukamtrust mtu leo, kesho kutwa anakugeuka. But we still need to think how to overcome this problem.
Hivi wakati ule mnafanya vikao vya safari hakuwahi kuja? Sasa kaka tufanyeje kwenye hili swala la usiri? hivi wakati mtu anajiunga na JF si kuna mahali information zake zinakuwepo au?
Poleni Msindima kwa msiba huu.
Vp taratibu za mazishi?
Mazishi sikushiriki mimi mwenyewe nimepata taarifa leo tena baada ya kusoma huku Jf ikabidi nimwulize PJ nani alimpa hizi taarifa, nikawasiliana na huyo jamaa ndo akaniambia ni kweli jamaa alipatwa na mauti tar 24, kuuliza ofisini nao wananiambia kuwa walipata taarifa tar 24.
Ok poleni jamani
Sababu ambayo inatufanya watu kutumia ID za anonym ni kubandika hapa habari ambazo hazina ukweli au uchunguzi, au za ugombanishi, au za kuwasema watu tunaokaa nao nyumba moja etc!
Ongea ukweli mtupu uweke jina lako!
Sababu ambayo inatufanya watu kutumia ID za anonym ni kubandika hapa habari ambazo hazina ukweli au uchunguzi, au za ugombanishi, au za kuwasema watu tunaokaa nao nyumba moja etc!
Ongea ukweli mtupu uweke jina lako!