R.I.P Side Boy Mnyamwezi

R.I.P Side Boy Mnyamwezi

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.

Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29, 2014 katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani humo.
attachment.php

Marehemu aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika', ‘Usidharau Usiyemjua' na ‘Kua Uyaone.'

Hadi sasa bado haijafahamika kuwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani, mwenye taarifa zaidi atujuze…..tafadhali.
 

Attachments

  • SIDE.jpg
    SIDE.jpg
    15 KB · Views: 8,364
RIP.

One bright morning when my work is over,Man will fly away home.


 
attachment.php



RIP Side boy Mnyamwezi tutakukumbuka kwa nyimbo zako nzuri ilizoja mafunzo umeondoka bado kijana mdogo sana.
 
Back
Top Bottom