Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nyota wa muziki wa RnB toka nchini Marekani, R. Kelly atatumikia kifungo cha mwaka mmoja zaidi kwa mashtaka yanayohusiana na picha zisizofaa za watoto na unyanyasaji wa kingono baada ya kumaliza kifungo chake cha miaka 30 cha ulaghai alichohukumiwa hapo mwanzo.
Mwimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Robert Sylvester Kelly, amekumiwa kifungo cha miaka 20 jela jana Alhamisi lakini atatumikia takriban hukumu zote kwa wakati mmoja pamoja na kifungo alichopata mwaka wa 2022.