R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono
Fiesta Fiesta Fiestaaa... fet Jay Z

Mzee wa "My Mind tell me Nooo!! But My Body, My Body, tell me Yeeeah!!
Hatari sana huyu Mwamba alikuwa
I believe I can fly....
 
Foxy yeye mwenyewe alisema 🙂
Jay ni mzee totoz mbichi, B analalama daily
ni vile hajanasa kwenye tundu bovu

Tofauti ya Jay z na Rkelly ni kwamba Rkelly alimuoa kabisa Aaliyah na ikawa wazi ila ya Foxy hakuna ushahidi wa moja kwa moja.
 
Play boy si alikuwa anafanya nao kazi kwenye magazine yake? Si alioa Mademu wakubwa wakubwa tu? Jay z mbona hafungwi au Tyler Perry?
Kwani na wao ni wabakaji au wanyanyasaji wa kingono ?
 
Tofauti ya Jay z na Rkelly ni kwamba Rkelly alimuoa kabisa Aaliyah na ikawa wazi ila ya Foxy hakuna ushahidi wa moja kwa moja.
unamtetea Jay Z au, nasema ni vile hakunasa kwenye tundu ,
Nelly na Trey Songz tayari wako kwenye foleni, makaburi yashafukuliwa
wawezakuta Jay ni swala la mda,
kiasili hao weusi huko ni viboro dinda, rejea under-age sex scandals za Usher (huyu anasambaza mpaka Herpes Sugu), Akon,
 
Kwani na wao ni wabakaji au wanyanyasaji wa kingono ?

Wanasema kwamba blacks wakiwa na mafanikio wazungu wanawapa kesi za kusingiziwa ili wawadrop ndiyo maana nikauliza mbona Tyler au Jay z hawasingiziwi? Kuna kina 50 cent ,Diddy wote blcks na wana mikwanja siyo ya kitoto lakini hawasingiziwi.
 
unamtetea Jay Z au, nasema ni vile hakunasa kwenye tundu ,
Nelly na Trey Songz tayari wako kwenye foleni, makaburi yashafukuliwa
wawezakuta Jay ni swala la mda,
kiasili hao weusi huko ni viboro dinda, rejea under-age sex scandals za Usher (huyu anasambaza mpaka Herpes Sugu), Akon,
Mimi nakataa hoja wanayosema kwamba Blacks huwa wanaonewa na wazungu na wanasingiziwa kesi za ubakaji na udhalilishaji wa kingono lakini ukiangalia hao wanaosemwa wanasingiziwa ni kweli wanatabia za kupenda dogodogo eg Rkelly ni Mbakaji Live.
 
Mkuu kwa huyu jamaa ebu fuatilia vizuri ,hawa blacks huwa wana viushamba flani hivi wakishika pesa!! Hivi unajua kwamba Rkelly alikuwa anamtafuna Aaliyah akiwa na miaka 13? Uoni kwamba jamaa alikuwa anapenda dogodogo? Mbona kina Camron ,Jay Z , Shark Oneil ,Tyler Perry hawajakuwa convicted na kesi za ubakaji?
R.Kelly kamla Aaliyah na mama yake pia hata ile porn yake nimeiona akimkojolea yule dogo. Lakini haya mambo kama upo kwa mganga anataka kafara za ndugu mwisho anataka kafara ya muhusika kisa kakosea masharti.
 
Hapo sawa kwa Rkelly anastahili kifungo ,hajaonewa kabisa.
 
Hapo sawa kwa Rkelly anastahili kifungo ,hajaonewa kabisa.
Sasa King Kong nyimbo za minyaduano atatoa nani na huyu mwamba alikuwa on top of that. Kitu kama cha:-
Seems like you ready au Can you handle it🤣🤣
 
R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo.

Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa.

Waendesha mashtaka walipendekeza kifungo cha miaka 25 na kuomba itolewe zaidi ya muda ambao tayari anatumikia jela.

==============

As we reported, Kelly was accused of abusing 4 people, 3 being minors, in this case and faced child pornography charges. He was found guilty on 6 of 13 charges, with the jury convicting him on the child pornography counts, but acquitting him on charges of conspiracy and enticement.

U.S. Attorney Jon Lausch at the time said his sentencing could range anywhere from 10-90 years ... but Kelly seemed to catch a small break earlier this year -- even if it won't make a big effect on his time in prison.

Charges against Kelly from Cook County State Attorney Kim Foxx were dropped in January, with Kelly's attorney Jennifer Bonjean telling us Foxx decided to not pursue the case because he's been convicted twice of similar crimes and is already looking at the possibility of a lifetime lockup.

Amebanwa mbavu kila kona kama Sabaya!
 
Back
Top Bottom