Imekua kawaida kwa whites kuwafilisi na kuwapoteza blacks pale tu wanapoona wanakaribia kuvunja au wameshavunja records zilizowekwa na whites... Watakupa kesi Kama hzo au watakufanyia figisu za Kila rangi ilimradi kukupoteza refer to MJ, Samuel etoo akiwa barca, Mike Tyson na wengine kibao... Mwisho huwa hvhv.