Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Alimtungia kibao age ain't nothing but a number sasa wacha akaisome hiyo namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanamke mkuu alikuwa ni staa mkubwa wa music na movie ana hit song yake inaitwa try again na ameigiza movie na dmx na jet lee nazani kama sio craddle to the grave basi ni romeo must die.Huyo Aaliyah wa kiume au kike
Waafrika tunapenda kujustify makosa ya hawa watu kwa kichaka cha uafrika wake.Jamaa alitakiwa awe mzungu. Wasingemsumbua kwa kipaji alichonacho. Huwa ni kosa kwa usiye mzungu, kufanya mambo mazuri kuwazidi wao ilhali upo kwao. Ngese sana,
Wa kike
Ana pin yake inaitwa i miss u
Lisa Lopez (left )kilikuwa chuma kitata ukisikiliza scrub ilikuwa moto muliloNikuwa napenda ile style ya Aaliya na left eyes.
Upo sahihi 100%Jamaa alitakiwa awe mzungu. Wasingemsumbua kwa kipaji alichonacho. Huwa ni kosa kwa usiye mzungu, kufanya mambo mazuri kuwazidi wao ilhali upo kwao. Ngese sana,
Mshaharaaaa wa dhambiii ni mautiiii au aibuuuu tuuuu.. tuache dhambii Yesu Kristo anarudiiiHuyu NGULI wa R&B ataozea jela
kilikuwa chomboo weeeHuyo Aaliyah wa kiume au kike
Aaliyah Dana Haughton, known mononymously as Aaliyah, was an American singer, actress, dancer, and model. She has been credited for helping to redefine contemporary R&B, pop and hip hop, earning her the nicknames the "Princess of R&B" and "Queen of Urban Pop". WikipediaSisi pia wageni humu hata hatujui
Kuna jamaa yangu school alikuwa anampandia sana mnazi shem Aliyah.. mie mwenyewe nilikuwa na vipicha vyake kibao enzi hizoDah Ila kwa Allaliyah ameinjoy sana aisee mtoto mzuri alikuwa aisee.
Hahah dah eti Shen Aaliyah 😃😃😃😃Kuna jamaa yangu school alikuwa anampandia sana mnazi shem Aliyah.. mie mwenyewe nilikuwa na vipicha vyake kibao enzi hizo
Dah unanivunja mbavu mzee, chizi sana wewe 😃eeh.. alikuwa shemu wangu 😛😛
kwahiyo kitu kisichofanywa na wazungu ni sahihi kwako.Watu weusi wengi wakishika hela huwa akili zinawaenda mbio. Mi sijawahiona wasanii wazungu au wazungu matajiri wameshika shika hela na kutamba nazo.
Baadaye kiburi cha hizi hela kikibackfire ndio utasikia tunabaguliwa.
Hadaa ni kitu/jambo lisilo na ukweli. Ni laghai