R Kelly akiri kushiriki Ngono na Msanii mwenzake Marehemu Aaliyah akiwa na umri wa Utoto

Shida cc watu weusi.ndio tuna penda kuangushana. Sio.km wazungu hawafanyiani mambo kama ya r kelly tatzo cc watu weusi angalia hata ndoa za mastar weusi always kupelekana kwenye mahakama masuala ya kifamilia kwao ndio jadi. Lakn wazungu hawafanyi hivyo. Binti wa kiafrika anatongozwa vzr anakubali anaitwa ili wafanye yao anaenda mahakamani ooh nimenyanyaswa kimapenzi sijui nimedhulumiwa nk.ili alipwe mamillions ya mwenzie bure bure aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakuta demu mwenyewe oya oya tu
 
Back
Top Bottom