Tetesi: R. Kelly atishia kujiua nyumbani kwake, simu ya dharura yapigwa Polisi

Tetesi: R. Kelly atishia kujiua nyumbani kwake, simu ya dharura yapigwa Polisi

Lakini mbona alikuwa anamtafuna Aaliyah? Alikuwa anatembea na Aaliyah akiwa below 14....Kwahiyo Rkelly kupewa kaesi kama hizo inawezekana ikawa kweli na sio kusingiziwa na wazungu,mbona Lil wayne,Birdman,T.I etc hawajasngiziwa?
Tulia kesi hii iishe alafu usikie ni nani atafata kwenye kufanyiwa Zengwe !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah check mwafrika alivyokuwa na roho mbaya kwa mwafrika mwenzie, ivyo akijiua wewe unapata faida gani kwa mfano twambie kipato chako kitaongezekaje kutokana na R.kelly kujiua Boss aisee nimeamini mwafrika ni mchawi wa mwafrika mwenziye

Sent using Jamii Forums mobile app
Rkelly ndio ana Roho mbaya ya kibazazi atatafunaje vitoto vidogo chini ya miaka 14? Wa kwanza kukumbana na hiyo hadha ni Late Aaliyah,Jamaa ni bazazi tu na sio kama anasingiziwa na wazungu,miafrika ikipata fedha inafanya mambo ya ajabu sana!
 
Propaganda za wazungu kummaliza mshkaji,,
Long live R Kelly and I believe you can fly,,
Hiyo midemu yote ilijipeleka ikaliwa, leo hii yanajikuta manungayembe mshkaji ndo kwanza anaokoka yanafufuka.yalikua wapi?
 
Lakini mbona alikuwa anamtafuna Aaliyah? Alikuwa anatembea na Aaliyah akiwa below 14....Kwahiyo Rkelly kupewa kaesi kama hizo inawezekana ikawa kweli na sio kusingiziwa na wazungu,mbona Lil wayne,Birdman,T.I etc hawajasngiziwa?

Bro huo uchafu wa kutembea na vitoto wazungu maarufu kibao wa rock and jazz wanaufanya lakini wanakaushiwa, kuna picha nimeiweka ya mwanamuziki mzungu anakiss na vitoto, lakini hutasikia. MJ nae walimzushia haya. Unadhani kwanini sasa hv ndo wamzingue Kelly?
 
Nimeanza kuona ni namna gani sasa huyu jamaa anatengenezewa shimo la kufikiwa na watu weupe, na hawa ndiyo wapo nyuma ya hili sakata na dhumuni ni kumuonda r Kelly katika ramani ya dunia, hakuna anaejua ukweli ila siku ya mwisho ukweli utasimama na kujitenga na maovu

Super hero daddy
Mi najiuliza hao mademu hela ya kukaa trump tower wameitolea wapi? Maana hpo trump tower naskia mamilionea tu ndyo wanaweza kuafford....hpa kuna kitu nyuma ya pazia sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah wapi..wala hakuna anaefukua makaburi yake. Ndio T.I alikuwa analalamika mbona kuna double standard katika kuwashughulikia hawa pedophiles? Presley ni rangi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Caucasian .._ the way I know .. u-super star ni mzigo wa mwiba " hakuna super star wa masuala ya burudani ambaye ni muadilifu ",

Hao ma-star wote wana makando kando mengi sana ya uchafu mkubwa " Hizo tuhuma anazo zipata R.kelly alizozipata Mj 2pac .Tyson and Co. Zipo sahihi kabisa na wanastahiki kudhughulikiwa kwa sababu wamekwenda against the law

Ila sasa shida ipo hapo kwenye double standard " kwa kwelu hilo halipendezi ..Maovu ya ma star wazungu kugeuzwa keki kisha ya ma-star,weusi kuonekana kuwa ni makosa ni jambo ambalo linastahiki kupingwa vikali sana

Kabisa, ndio T.I anacholalamika mbona MA star weupe hawafanyiwi figisu? Halafu pia ishu ya bange, wazungu wanauza wazi wazi kwenye majimbo waliyohalalisha ila weusi wakiuza wanakamatwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom