Tetesi: R. Kelly atishia kujiua nyumbani kwake, simu ya dharura yapigwa Polisi

Tetesi: R. Kelly atishia kujiua nyumbani kwake, simu ya dharura yapigwa Polisi

Prince, Michael Jackson, bob Marley nk hawa walitengenezewa mfumo wa kuwaondoa kwa kweli rangi nyeusi tunanyanyaswa sana pasipo kupata haki

Super hero daddy
Huyo ndo mzungu
Screenshot_20190315-134407~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashley Cole alichepuka,vyombo vya habari vilimshikia bango balaa.
Ila ikaja kubainika Ryan Giggs alichepuka na mke wa mdogo wake vyombo vya habari vikapotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok naanza kupata picha mkuu.

Bro huo uchafu wa kutembea na vitoto wazungu maarufu kibao wa rock and jazz wanaufanya lakini wanakaushiwa, kuna picha nimeiweka ya mwanamuziki mzungu anakiss na vitoto, lakini hutasikia. MJ nae walimzushia haya. Unadhani kwanini sasa hv ndo wamzingue Kelly?
 
Mi najiuliza hao mademu hela ya kukaa trump tower wameitolea wapi? Maana hpo trump tower naskia mamilionea tu ndyo wanaweza kuafford....hpa kuna kitu nyuma ya pazia sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
R kelly akiwa analia kwenye hiyo clip anasikika akisema kwa majonzi "they said they will destroy my career"

Happiness is a lifestyle
 
Jamaa wanakubeba hadi juu, kisha wanakushusha hadi ndani ya shimo.
R. Kelly
MJ
Bill Cosby etc


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha akanyee debe kama pesa imemfanya atamani Watoto wadogo shauri zake.

Wapo Blacks wengi na celebs hata weupe ambao wanajiheshimu sana na wanaheshimika.
Huwezi kusikia kina Denzel Washington wakifanya upuuzi huu.
RK alikutwa na picha za Watoto wadogo tena wadogo sana wakiwa uchi zaidi ya 2000 kwenye laptop yake na hiyo ni miaka ya nyuma sana

Kweli kuna kummaliza kimaisha lakini na wao hawana heshima wakiwa na umaarufu
Sio mweusi tu ni binadamu yeyote haijalishi rangi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom