Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.
Kwamba ni jambo liliopangwa kimkakati na hawa devil worshippers kama walivyomfanya Michael Jackson.
Je, kuna mtu ana taarifa kamili kuhusiana na sakata hill?
Hata hivyo ni kama sitarajii sana taarifa nyingi ama uzi huu kuendelea kwa vile nguvu ya hawa jamaa ni kubwa sana na huenda hata humu wamo wengi tu.
Hata hivyo bado naamini kuna watumishi wa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wanaweza kuwa wanajua.
Nawakaribisha katika uzi huu