R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimesoma mahali, kuna watu wakizungumzia suala la nguli huyu kufungwa jela miaka 30 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wadogo kwa kutumia nguvu ya ushawishi wake.

Kwamba ni jambo liliopangwa kimkakati na hawa devil worshippers kama walivyomfanya Michael Jackson.

Je, kuna mtu ana taarifa kamili kuhusiana na sakata hill?

Hata hivyo ni kama sitarajii sana taarifa nyingi ama uzi huu kuendelea kwa vile nguvu ya hawa jamaa ni kubwa sana na huenda hata humu wamo wengi tu.

Hata hivyo bado naamini kuna watumishi wa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo wanaweza kuwa wanajua.

Nawakaribisha katika uzi huu
 
Ivi yule aliyeimba 'Try again' inasemekana R Kelly alimuoa akiwa na miaka 15 je alipata ridhaa ya wazazi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama alipata au lah, kwa ni miongoni kesi iliyopigisha nyundo 30. Kelly aligushi cheti cha ndoa na ikaonekana ana miaka 18 wakati akiwa na miaka 15.
 
That is true huyu jamaa aliwakataa hawa illuminat na aliwaripua live akiwa stejini na walishataka kumuua mara mbili pia R.kelly na Jzee wana bifu la maisha hawajawahi kuelewana maana Jayz kawamaliza ma rapa wote ilr abaki yeye kwa mfano Nas,Dr.Dre,Jahrule,ila kwa R kely alishindwa,kumbuka R kelly kesha koswa kupigwa risasi mara kadhaa akiwa live stejini.
 
Aaaah kumbe kuna mambo mengi nyuma ya panzia
 
Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?

Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa

Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
 
Utawaweza wabongo kwa conspiracy zao utasikia wazungu hawapendi weusi wakati hata wazungu wengi pia wapo gerezani
 
Hayo kweli ni makosa alitenda ila unaambiwa kuna watu walishikilia ili jamaa apotezwe na wamefanikiwa
 
Ukiwa mwanamziki basi mademu wanakuja wenyewe. Hili swala la R Kelly kupenda vitoto linaweza kuwa la kiisaikolojia zaidi. Yule kwa umaarufu wake hakuwa na haja ya kutongoza angepata mademu kede kede ila cha kushangaza alikuwa anapenda vitoto. .

Tungekuja Bongo hata kanumba was sleeping with a child Lulu Michael. So sishangai kama alifanya hayo makosa ila kiisaikolojia mwanaume anayependa vitoto wana matatizo. Huku uswazi wako wengi mno unakuta mtu mzima anahangaika na vitoto. Kuna haja ya kuwapatia msaada wa kiisaikolojia. .
 
Naomba kuuliza, Kwahiyo mnamaanisha vitendo alivyokuwa anavifanya vilikuwa ni halali na hastahili kwenda jela?

Kulawiti,kulazimisha watoto wadogo washiriki nae Ngono,kuwa na picha za utupu za watoto wadogo kwenye laptop yake,kudanganya vyombo vya Dora kuhusu umri wa Aaliyah ili amuoe na kuzuia soo la kushtakiwa

Hivi haya yote mnataka kusema hayatoshi tu kumweka huyu legend gerezani hadi zije story za mashetani?
Wewe unaamini hizo propaganda? Au ulikuwepo wakati analawiti?
 
Angalia kwanza kiapo chao kinachopatikana kwenye kitabu cha NEW WORLD ORDER ndo utajua hao jamaa huwezi kujitoa ni either wa kuue au wakupe kesi mfano wa r Kelly na hata Christian Ronaldo hyo kesi anayo inakuja na kuzimwa ila siku akija kuzingua wanamrudisha na hyo ndo nguvu yao.
Screenshot_20220607-150523_WPS%20Office.jpg
Screenshot_20220607-150529_WPS%20Office.jpg
 
Utawaweza wabongo kwa conspiracy zao utasikia wazungu hawapendi weusi wakati hata wazungu wengi pia wapo gerezani
Wabongo ujuaji mwingi sana na conspiracy zao no wonder wale jamaa Wakenya waliuza sana CD za mahubiri ya Freemasons enzi zile..R Kelly mwenyewe kwa mdomo wake mahakamani kakiri wazi kwamba alitembea na marehemu Aaliyah akiwa under age wabongo wanakazia kwamba jamaa kaonewa na kwamba weusi wake umemponza
 
Back
Top Bottom