R Kelly na masuala ya devil worshippers, kuna siri ipo?

Kwa iyo umerizia kelly kufungwa miaka 30 huku mwenye hatia ya mauaji,kukwepa kodi na kumpiga kijana wa miaka 14 (2017) kuhukumiwa miaka 22 na 1/2?
Hoja sio kuridhia au la, hoja ni baadhi ya watu humu kutuaminisha kwamba R Kelly amefungwa kutokana na conspiracy ya Illuminati, freemasons and all that bullshit au kafungwa kwa sababu ni mweusi. Watu wanasahau au hawajui kwamba R Kelly alishawahi kupelekwa mahakamani kwa kosa kama hili na akashinda pamoja na kuwepo ushahidi wa tape ikionyesha akiwa na minor. Kwa nini walishindwa kumfunga wakati huo kama kulikuwa na njama?
Argument yako kwamba kwa nini R Kelly kafungwa miaka 30 na mwingine miaka 22 haina mashiko. Kwanza kesi zao ni tofauti na zimetokea kwenye States tofauti. US kila state ina sheria zake. Pili, ni lazima ujue kila mshitakiwa alishtakiwa kwa kosa lipi na kosa hilo lina adhabu gani kwenye hiyo state. Tatu, mwenendo wa kesi huwa na mambo mengi mpaka mtu kufungwa mfano ushahidi ukoje, mtuhumiwa ana mwanasheria mzuri anayeweza ku-argue kwa niaba ya mshitakiwa na mambo mengine mengi. Haya yote unaweza kuyapata usipokuwa mvivu kutafiti suala unalotaka kuzungumzia. Sio unaropoka tu mbona huyu kapigwa 30 na huyu kapigwa 22.
 
Tena hili la kila State kuwa na sheria zake usipolifahamu unaweza kulalamika bure.
 
Bwana we you never know but they were close friends ukizingatia wote walikuwa na pesa
ni kweli walikuwa wanakula vifaranga bwana hahaha. sasa hela ipo vifarnaga mbususus bado mnato na wanataka macho matatu watambe mjini why not usiwale.
 
ni kweli walikuwa wanakula vifaranga bwana hahaha. sasa hela ipo vifarnaga mbususus bado mnato na wanataka macho matatu watambe mjini why not usiwale.
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
jamaa alikuwa na frustration zake bwana maana alijua kabisa hawezi kuja kuwa mfalme so bora aburudike na mbususu.
same applies to harry, alishajua hapa mie kuwa mfalme ni 0 chance so wacha nijichukulie divorcee wangu nile bata
 
Inawezekana kwa sababu there is no way Prince Andrew angekuja kuwa King the same applies to Prince Harry. Sijui time will tell na huwezi kujua Mungu amepanga nini.
 
Inawezekana kwa sababu there is no way Prince Andrew angekuja kuwa King the same applies to Prince Harry. Sijui time will tell na huwezi kujua Mungu amepanga nini.
ah wewe bibi mwenyewe yule alivyo na roho mbaya mpaka leo yupo madarakani. yaani kweli elizabeth ameshindwa kusema ngoja nimuachie mwanangu ufalme. alafu huku africa rais akikaa madarakani muda mremfu wanaanza kutupigia kelele wakati kibibi chao akitaki kumuachia ufalme ata mtoto wake mwenyewe
 
Monarch na Urais ni vitu viwili tofauti. Muache Elizabeth II atawale mpaka Mungu amchukue!!!πŸ˜„πŸ˜„. Halafu kwa makandokando ya Prince Charles naye hata ningekuwa mimi nisingetoka mpaka nife.

Anyway she is getting old akifika muda akiona imetosha anaweza kuachia ngazi. Kumbuka ni mtawala aliyetawala miaka mingi kuliko yeyote katika Uingereza.
 
Makando kando yapi bwana yeye kampenda camila wake basi.
Uchoyo tuu wee kumuachia mtoto wako kiti unashindwa....maana at the end of the day bado utaishi maisha mazuri mtoto wako hawezi kukutupa.
 
Hizo zote alitengenezewa wala hakufanya huo ni mpango tu km ilivyokuwa kwa kina papi kocha.. Mungu atasimama pamoja na yeye
 
Nyinyi hamuelewi vema spiritual realm, kinachofanyika NI hivi wakishajiunga na illuminati wanatumiwa roho ambazo zinawaendesha kufanya mambo hayo kama ulawiti, ushoga, usagaji n.k

Ili iwe rahisi kuwanasa mtegoni pindi watakapotaka kujitoa chamani.

Hizo roho wanatumiwa na hao hao illuminati ili wakivunja maagano wanaswe mtegoni
 
Makando kando yapi bwana yeye kampenda camila wake basi.
Uchoyo tuu wee kumuachia mtoto wako kiti unashindwa....maana at the end of the day bado utaishi maisha mazuri mtoto wako hawezi kukutupa.
Obvious. Ila mengi yametokea kwa bibi wa watu. Charles kuachana na Diana; Andrew kuachana na Sarah Ferguson; Princess Anne kuachana na Mark Phillips; kifo cha Princess Di; saga la Prince Andrew; Prince Harry kujiondoa kwenye kazi za royal; hata UK kujiondoa kwenye EU ilikuwa ni mitihani tosha kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…