R.Mengi for President?

R.Mengi for President?

Status
Not open for further replies.
Upinzani Hauja Ni Convince Na Ccm Ni Mafisadi!
Kwanza hata hao wanaojiita Simba kama si Mengi nani angewajua?
Kama Mengi angeshirikiana na Mkapa...Taifa letu lingekuwa kwenye hali gani kwa sasa?
Kina Slaa na Zitto wangekuwa wapi?
CCM wanawaweza wapinzani na wanamwogopa R.Mengi!
Wanajua hilo!
 
Ndugu yangu hujui hata Kikwete analindwa hapa sometimes licha ya kupondewa!
Kuna thread hata moja imeshawahi kuanzishwa ya kumjadili R.Mengi zaidi ya zile za migogoro na kina Manji?
Je umeshakuja na sifa za viongozi tunaowahitaji base on vilio vya wananchi?
Kwanini hatupendi kuwauliza wananchi wanataka nini bali tu kuwashindilia yale tunayotaka sisi?

ha ha ha haaaa, kupenda unapenda kushindiria ndio maana umekaza uzi kushindiria matakwa yako,murra kaaazi ipo mwaka huu, Mengi for President
 
Samahani nimeongeza kipengele cha "g" .... ambacho nilikiruka mwanzoni. Kabla ya kuendelea kumjadili Mengi nawashauri msome hicho kipande hapo ukurasa wa 14.
 
Murra mwanakijiji, kwa maelezo yako yote unaimpry Mengi for president: If that is the case, Karamagi or Lowassa for Vice president, Chenge for PM kwani hata hao wana sifa urizozitaja na kipengere g kinawaweba. oooh Tanzania Tanzania
 
Geeez Rev.!! If that is the standard then we are doomed....
NO THANK YOU TUMEKUWA TUNA VICHECHE WENGI WASIO WAAMINIFU HIKI NDIYO CHANZO CHA UFISADI WAMEREKANI WALI OVER LOOK UKICHECHE WA CLINTON LEO WANASEMA HAWATAKAA WAWEKE KICHECHE JUMBA JEUPE
 
Murra mwanakijiji, kwa maelezo yako yote unaimpry Mengi for president Lowassa : If that is the case, Karamagi for Vice president, Chenge for PM kwani hata hao wana sifa urizozitaja na kipengere g kinawaweba. oooh Tanzania Tanzania

nina imply kuwa barring contravening the constitution hakuna sababu ya kumzuia Mengi, Lowassa, Karamagi, Chenge kuwa Rais wa Tanzania. Period. Ni jukumu la wananchi kuwapima na kuwaona wanafaa au la lakini wakitaka kugombea wana haki zote na sifa zote zinazotakiwa kikatiba. Hili ni gumu kueleweka?
 
NO THANK YOU TUMEKUWA TUNA VICHECHE WENGI WASIO WAAMINIFU HIKI NDIYO CHANZO CHA UFISADI WAMEREKANI WALI OVER LOOK UKICHECHE WA CLINTON LEO WANASEMA HAWATAKAA WAWEKE KICHECHE JUMBA JEUPE

Hebu angalia uchumi wa Marekani ulivyokuwa wakati Bubba (Clinton) alipokuwa raisi.....je kuna uhusiano wowote ule na yeye ku-stray nje ya ndoa yake?
 
nina imply kuwa barring contravening the constitution hakuna sababu ya kumzuia Mengi, Lowassa, Karamagi, Chenge kuwa Rais wa Tanzania. Period. Ni jukumu la wananchi kuwapima na kuwaona wanafaa au la lakini wakitaka kugombea wana haki zote na sifa zote zinazotakiwa kikatiba. Hili ni gumu kueleweka?

ni rahisi sana mzee,

Mengi for president 2010 tena through Chukua Chako Mapema, atapimika mwenyewe. Pamoja na hiro inabidi kuset high standard kuweza kupata kiongozi bora maana wananchi watanzania kupima kiongozi bora ni kutoa mabia na manyama kilabinu kwa siku moja, hivyo kwa mtaji huo kuna jukumu kutafuta mgombea bora kabisa la sivyo itakuwa sio kiongozi bora na isipokuwa bora kiongozi
 
Ni bora tusome kwanza hiyo posting ya MKJJ kwasababu inamake sense!
Na tuitumie kama manifesto ya mjadala huu kwasababu haina upande inayotetea zaidi ya kutuweka sawa ili tuwape watu wote fair and just discussion.
 
Hebu angalia uchumi wa Marekani ulivyokuwa wakati Bubba (Clinton) alipokuwa raisi.....je kuna uhusiano wowote ule na yeye ku-stray nje ya ndoa yake?
AUIPIMI TAIFA KAMA MAREKANI KWA UCHUMI TU KWA HAPA KWETU JK KAMA ATAWEZA KUTUPA UGARI WA KUTOSHA NA MAHARAGWE ANAWEZA HATA AKALALA KWENYE MADANGURO NA VIMURIRI VYAKE,KWANZA SIFA KWA WAKWELE,LAKINI NCHI KIONGOZI KAMA MALEKANI,FAMILA NI KITU CHA MSINGI SO HUPIMI KWA UCHUMI TU AMA SIVYO MAMA AGEPETA NA KIMPELEKA OBAMA KASI LAKINI WANAHESABIKA NI MOJA YA FAMILIA ZA OVYO.
 
Ninapata shida kidogo kukuelewa unazungumzia nini....
 
Nina Maana Taifa Kama Marekani Hulipimi Kwa Uchumi Tu,yes Clinton Aliweza Kudhibiti Bajeti Kukawa Na Salio Ok Haitoshi,hiyo Pia Kama Taifa Kiongozi Kuna Vigezo Vya Maadili,wezetu Wamejenga Instutions Imala Hata Raisi Akiwa Kalaga Bao Kama Bush Taifa Linakwenda Tu.
 
nadhani na yeye ni fisadi tu, ingawa yupo reasonable...hakuwamo kwenye sakata ya BoT?
 
Ili kusiwepo na uonevu..Mdau na PEZZONOVANTE naomba muje na hayo majina masafi ili tuyalinganishe na Mengi!
Kwi kwi kwi...!
 
Nina Maana Taifa Kama Marekani Hulipimi Kwa Uchumi Tu,yes Clinton Aliweza Kudhibiti Bajeti Kukawa Na Salio Ok Haitoshi,hiyo Pia Kama Taifa Kiongozi Kuna Vigezo Vya Maadili,wezetu Wamejenga Instutions Imala Hata Raisi Akiwa Kalaga Bao Kama Bush Taifa Linakwenda Tu.

Wewe hujui ni kwanini Mama anapata kura sivyo?

Pia ili tusiende nje ya mada..Then taja sifa za hao viongozi wako vs R.Mengi.
Sifa zinazohitajika kwa rais VS zile alizonazo R.Mengi!
Hapo ndipo nitakapo waweza critics!
Naamini mjadala ndio kwanza unaanza!
Na pia kuna mabadiliko mengi sana ikija kwenye kupima chuki dhidi ya Mengi pale tunapo compare previous times VS the current moment!
 
Mh!! Haya ndio mambo ya mama Lwakatare na ubunge sijui huyo mengi mnataka aingie kwenye hicho kinyang'anyiro cha urais mnadhani he'll be ready to put aside all his investments ili atumikie wa-tz kama president??? Mi sidhani kama atakuwa na ufanisi let him remain in his business na mchango wake katika jamii uendelee....
 
Na kama hayo yakina Monica Lewisky yakiendelea kufuatliwa then Mama naye atabaki?
Kwani hawajui hayo wamarekani?
Ndio kuna wale wenye mawazo kama ya kina Kishoka..Lakini hii haina maana kuwa watu hawapewi nafasi!
 
Nina Maana Taifa Kama Marekani Hulipimi Kwa Uchumi Tu,yes Clinton Aliweza Kudhibiti Bajeti Kukawa Na Salio Ok Haitoshi,hiyo Pia Kama Taifa Kiongozi Kuna Vigezo Vya Maadili,wezetu Wamejenga Instutions Imala Hata Raisi Akiwa Kalaga Bao Kama Bush Taifa Linakwenda Tu.

Maadili gani hayo unayoyazungumzia wewe? So long as huyo mtu havunji sheria mimi sioni tatizo lolote akiwa na kimada au vimada sehemu sehemu. Hilo ni jambo la yeye na mke wake na familia yake kudili nalo. Mimi halinihusu na sijali.
 
Mh!! Haya ndio mambo ya mama Lwakatare na ubunge sijui huyo mengi mnataka aingie kwenye hicho kinyang'anyiro cha urais mnadhani he'll be ready to put aside all his investments ili atumikie wa-tz kama president??? Mi sidhani kama atakuwa na ufanisi let him remain in his business na mchango wake katika jamii uendelee....

Kauli zenye kukubali mchango wake kwenye jamii bila kumpa fair and honest discussion kama anavyo deserve then inatuonesha utovu wetu wa fadhila pamoja na ni jinsi gani CCM imefanikiwa kujenga matabaka ya chuki,udini na ukabila!
Ila sasa hivi ni wakati ambao Mungu ametaka..Hivyo forces zote za evil zitashindwa this time around!
 
Na kwa wale ambao wanadai Mengi hastahili mjadala huu..Then waje na majina ya mapendekezo yao hao ambao wao wanaona ni wasafi zaidi ya R.Mengi pamoja misimamo yao kwenye vita dhidi ya UFISADI! Wale wote wenye kuona boriti kwenye jicho la mwenzao huku wakiamini firmly kuwa hakuna kibanzi kwenye jicho lao!

Wekeni mambo critics ili tuwe na mjadala fair!
Kama mnaona ugumu then niyaweke majina hapa?
Mimi nimechagua kuweka hili na ninalitetea kwa hoja!
Naomba na nyie mufanye hivyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom