Fid q ndio mwisho wa matatizo....huyo mtoto Roma anaropoka tu...
Nyimbo zake ni gani?
Fid Q mavi matupu.
Nenda kamwambie aache kutumia misemo na methali za akina Andanenga na wana kiswahili wengine walioumiza vichwa mpaka wakaibuka na tungo hizo.
Kwa nini ulazimishe watu wafikiri unavyo fikiri tena kwa kutumia matusi! Kama usinge tukana au kukejeli ujumbe wako usinge fika?
Fid Q mavi matupu.
Nenda kamwambie aache kutumia misemo na methali za akina Andanenga na wana kiswahili wengine walioumiza vichwa mpaka wakaibuka na tungo hizo.
Je mnamjua dogo hashimu?? Huyo roma bado sana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahaaaa.....Chambua kama karanga
Chambua kama karanga
Umemstukia eeh?pia usisahau kumwambia roma aache kukusanya habari za kitaifa na kimataifa na za michezo za mwaka mzima ndizo afanye mashairi yake...........hatoi wimbo mpka mwisho wa mwaka,.na akitoa basi ni summary za habari za mwaka mzima. atunge mashairi yake aache kuiba habari za waandishi walioumiza kichwa mwaka mzima.