R.O.M.A Tanzania best artist ever

R.O.M.A Tanzania best artist ever

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
362
,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu mwimbaji. Haya yalikua maneno ya babaangu mzazi jinsi alivovutiwa na wimbo wa roma hadi kutaka albm zake jamaa anastahili heshima ya juu pesi ilimaliza ugomvi baina ya ruge na sugu hahahaaa
 
Time will tell.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Fid q ndio mwisho wa matatizo....huyo mtoto Roma anaropoka tu...
 
n mkali lakin hajafikia hadhi hyo,n level za akina kala jeremiah,huwez mfanansha na akina FID Q,AFANDE SELE,PROF.JAY,SOLO THANG,SUGU etc..
 
bado ajafikia level izo mkuu ni mpiga kelele 2 akuna mpangilio wa mashairi , ki ufupi yule ni rapa na co emcee
 
Fid q ndio mwisho wa matatizo....huyo mtoto Roma anaropoka tu...

Fid Q mavi matupu.
Nenda kamwambie aache kutumia misemo na methali za akina Andanenga na wana kiswahili wengine walioumiza vichwa mpaka wakaibuka na tungo hizo.
 
According na head ya thread yako bi kidude
Nampa
 
Kwa nini ulazimishe watu wafikiri unavyo fikiri tena kwa kutumia matusi! Kama usinge tukana au kukejeli ujumbe wako usinge fika?

Fid Q mavi matupu.
Nenda kamwambie aache kutumia misemo na methali za akina Andanenga na wana kiswahili wengine walioumiza vichwa mpaka wakaibuka na tungo hizo.
 
Kwa nini ulazimishe watu wafikiri unavyo fikiri tena kwa kutumia matusi! Kama usinge tukana au kukejeli ujumbe wako usinge fika?

Ukiona hivyo ujue hoja yakd nyepesi, katumia tusi kuipa uzito, hopeless
 
Je mnamjua dogo hashimu?? Huyo roma bado sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndo huyo anayeimbia Simba sports taarabu au nimemfananisha
 
Fid Q mavi matupu.
Nenda kamwambie aache kutumia misemo na methali za akina Andanenga na wana kiswahili wengine walioumiza vichwa mpaka wakaibuka na tungo hizo.

pia usisahau kumwambia roma aache kukusanya habari za kitaifa na kimataifa na za michezo za mwaka mzima ndizo afanye mashairi yake...........hatoi wimbo mpka mwisho wa mwaka,.na akitoa basi ni summary za habari za mwaka mzima. atunge mashairi yake aache kuiba habari za waandishi walioumiza kichwa mwaka mzima.
 
Je mnamjua dogo hashimu?? Huyo roma bado sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

aaah uyu hashim dogo ni hatari kabisa yan ata co m2 wa kumfananisha na roma kabisa,ni emcee ambao tuna wamis sana kwnye game ya hip hop
 
pia usisahau kumwambia roma aache kukusanya habari za kitaifa na kimataifa na za michezo za mwaka mzima ndizo afanye mashairi yake...........hatoi wimbo mpka mwisho wa mwaka,.na akitoa basi ni summary za habari za mwaka mzima. atunge mashairi yake aache kuiba habari za waandishi walioumiza kichwa mwaka mzima.
Umemstukia eeh?
 
Dogo mkali ananikuna sana na baadhi ya mistari ya mfano ule anaosema WE ------ AMBAYE HUTAMSAHAU MNYAKYUSA na mwingine anasema MI NAKOMBA PESA ZOTE NASEPA KAMA LOWASSA dogo ni nooooooma
 
Back
Top Bottom