Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?


Then why don't you also inform your audiance that in that Balfour Declaration Conference it was firstly decided to immigrate the Jews from Europe and the Diaspora to Uganda? So Uganda would have been The Jewish Promised Land today?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa haya maelezo yako ni kwamba hii Israel ambayo tunaiona leo ni taifa ambalo kuna watu fulani wakaamua tu kuliunda sio?

Hebu endelea kutiririka mkuu ...!!

Mkuu wangu Eiyer, ukiangalia sana WW1, WW2, Hitler na Holocaust ziliplay part kubwa sana kwenye kuundwa kwa Nchi ya Israel.
Tukianza na The Balfour Declaration ya 2nd November 1917, barua ya UK's Foreign Secretary bwana Arthur James Balfour kwenda kwa Baron Rothschild, ilikua na maudhui haya; "His Majesty's government view with favour the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object, it being clearly understood that nothing shall be done which may prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country."
Kumbuka hiyo ilikua ni mwaka 1917, miaka 31 kabla ya kutangazwa rasmi kwa state of Israel, huu ilikua ni muendelezo tu wa kazi iliyoanza 1897, British Empire pamoja washirika wao France walishakua na mpango wa kuipa Palestina, iliyokua chini ya Ottoman, kwa Zionists.
Huu mpango uliwezekana tu baada ya WW2 na kazi kubwa aliyowafanyia Hitler na the so called "the holocaust".
Iko well documented kwamba Hitler alikua na close ties na Vatican, majeshi yake yalikua heavly funded kwa pesa, mikopo na mafuta ya mitambo, ndege na magari ya kivita na the Roccafellas na kina Bush kupitia kwa bank ya babu yake Bush Jr. iliyoitwa Union Bank
Kuna utata mkubwa kuhusiana na "the holocaust" kwanza kabisa maana ya hili neno ni utata kidogo, "Holocaust" comes from the the Greek word holokauston, itself a translation of the Hebrew olah, meaning "completely burnt offering to God," implying that Jews and other "undesirables" murdered during World War II were a sacrifice to God. Je hii ilikua ni sadaka ya kuteketeza ya lazima ili kufikia malengo ya Zionists?
Lakini cha pili ni utata wa ukweli kuhusiana na idadi ya wayahudi waliokufa kwenye hizo concentration camps, je kweli walikua milioni 6?
Na je ni nani walinufaika zaidi na Holocaust? Je ni Hitler na Wajerumani au ni Jews/Zionist? Kumbuka barua ya Balfour anaposema "and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object" hizo 'best endeavors' ndio holocaust na WW2? Hegelian dialect, PROBLEM + REACTION = SOLUTION?
 
Last edited by a moderator:
Then why don't you also inform your audiance that in that Balfour Declaration Conference it was firstly decided to immigrate the Jews from Europe and the Diaspora to Uganda? So Uganda would have been The Jewish Promised Land today?

Ahsante Mkuu, teh teh tusijetukaamka kukutana na other European Thugs claiming Tanzania is their promised Land and Spiritual home 😜
 
Kwa mujibu wa haya maelezo yako ni kwamba hii Israel ambayo tunaiona leo ni taifa ambalo kuna watu fulani wakaamua tu kuliunda sio?

Hebu endelea kutiririka mkuu ...!!

The Europeans after the war were not ready to accomodate the Jews in their lands so they were finding anywhere and everywhere to accomodate them but not in Europe. The British being in the fore front they suggested Uganda in Africa at that time there was no religious or historical dimension on the issue.

It was in 1917 that Authur Balfour who suggested Palestine and the British government agreed to support the Idea and presented to The League of Nation (UN) where it gave the mandate to Britain to rule Palestine and after many years of negotiations and back hand wringling to The Hashemite Kingdom where at last in 1947 the UN voted the Creation of Israel and in 6 May 1948 a state of Israel was born.
 
Karibu sana utujazie ujuzi katika hili linalojadiliwa.

What is the Oral Torah?

As I mentioned earlier, there are two "Torahs": the Written and the Oral. In Jewish tradition, both were given to Moses at Mt. Sinai and during the forty years in the desert, and taught to the whole nation. [In fact, when Judaism says "God gave the Torah to Moses at Sinai" it is talking only about the Oral Torah otherwise, Moses should have known about the Golden Calf, and as for Korach's Rebellion, Moses should have reacted "well, we've been expecting you..."]

Both Torahs have been with there, according to Jewish sources, for all of the past 3300 years. And without both, it is impossible to fully understand traditional Jewish teaching or thought. The Written Torah, mentiones each of the Commandments, or Mitzvos, only in passing or by allusion. The Oral Law fills in the gaps.

Here is an example: "And you shall tie them as a sign on your arm and for (Totafos) between your eyes." (Deut. 6 8) This is the source for the Mitzvah of Tefillin (phylacteries - if that's any clearer), but it doesn't tell us that much. From this alone, we'd never know how to do this Mitzvah. What are we supposed to tie to the arm? With what do we tie it? What are "Totafos?" What is it a sign of? Without the Oral Law, quite simply, there's no Mitzvah of Tefillin. And there aren't too many other Mitzvos that'll make much sense either. Not, that is, without some form of commentary.

With that said, it wouldn't have made any sense for the Author of the Five Books to have left us nothing more than tantalizing hints we still would have no idea what to do. So, either the Torah was written by an idiot (or a relatively clueless 'redactor' according to modern theorists) who just never thought things through enough to tell us what to put into our Tefillin... or there must be an instruction manual somewhere that came in the same package. We call this "instruction manual" the Oral law.
 
Sasa utawezaje kuthibitisha kuwa unachokiweka hapa ni sahihi?

Kuna jamaa ni mu-Iran na ameshatoa ushahidi ambao unakinzana na haya madai ya Punjab,nimsikilize Punjab au huyu mu-Iran?

There's no entitlement in knowledge. Just because somebody is Iranian doesn't mean that the individuals knows better than a person from Punjab or Tabora. It seems to me you waiting for somebody to feed so you can memorize. You won't get anywhere.
 

Seriously, you need to take classes in critical reading and writing. That's all I could say.
 

Uwe unaweka na source kwenye hayo mabandiko yako ya copy and paste bila ya kuchuja na kuelewa unachokifanya, unasema As I mentioned Earlier, kana kwamba ni maneno yako kumbe sio, wapi mapema umeyasema hayo!? Kwa mfano hili bandiko lako uliloli copy umelikata sio lote na umetolea kwenye hii web ambapo lipo full What is the oral Torah? - Torah.org
 

Good boy now you are learning to find Information. Why should I keep a link for you while your Yesu and Bible is your only reference. Are you sure that is the only link that has what i have presented here? You always avoid tha substance and you go on trivial maters. Now you have found that link that attest to what I wrote it your catch now to swallow it.
 
Wickama na Eiyer siku zote i have been wondering kuhusu hii salam ya heshima ya sisi wahaya SHUMALAMU=SHALOM?

Jamal, you are right. Wakurya tunatumia neno "Omohamate" kuonyesha mtu ambaye sio katika sisi/familia. Kwa kweli hili neno nadhani ni kuelezea "hamites, or hamitic. Ikimaanisha hatukuwa hamites. Na kweli bantus sio hamites. wana historia huwa wanafundisha kuwa asili ya wabantu ni kwenye misitu ya west africa, lakini ukiangalia mji mkuu wa cameron (Yaounde) ukiondoa hiyo N unakuta unatamka Yahudi. Kisha ukikuta maandishi ya scholars wa kiislamu wa Spain wakati ikiwa chini ya waislamu (refer al-idiris of ceuta, hebrews, west africa), wameandika kirefu kuwa kulikuwa na biashara ya watumwa mwambao wa africa magharibi ambamo wayahudi waliokuwa maeneo jirani na timbuktu (west africa) walikamatwa na kuuzwa kama watumwa.

Hawa wayahudi wako wapi leo? Mchora ramani wa awali kabisa aliyechora ramani za africa magharibi (vatican cartographer) alionyesha bayana kulikuwa na a kingdom of yuda. wafanya biashara wa watumwa (wazungu) walijuwa kabisa kuwa walikuwa wananunua uzao wa Yakobo (wabantu) na kuupeleka utumwani



Upo ushahidi mwingi unaoonyesha kuwa hawa wanaoitwa wabantu LEO ndio haswa walikuwa the Israelites at the time of Judah. Kwenye hii video angalia kufanana kwa bantu language (kikongo-lingala) na Hebrew language

[video=dailymotion;xqwil3]http://www.dailymotion.com/video/xqwil3_history-of-bantus-ancient-israel-of-the-bible-part-2_creation?from_related=relate d.page.int.meta2-only.ed1c1bf40f04b7c2224b690c6 30395e5141979731[/video]

cc Eiyer, Mkuu wa chuo,
 
Last edited by a moderator:
Wickama, kwenye Biblia kuna mistari kwamba hawa jamaa watatawanyishwa, halafu baadae watarudi tena... na huko nyuma iliwahi kutokea, walishawahi kupelekwa uhamishoni Babylon baadae wakarudi tena kwenye ile ardhi yao... Sasa kwa uchunguzi wako umegundua Kumbe Wabantu asili yao ni Uyahudi... Sasa basi hivi kunauwezekano wa kurudi kwenye nchi ya Ahadi kama maandiko yasemavyo!?
 
Last edited by a moderator:

Israel ya mwingereza?!hebu toa source mkuu maana sijakuelewa.
 
Thanks.Though confusing...Kwan asubuhi na alfajiri zina tofauti gani?
Mi naona Alfajiri ni subset ya Asubuhi

Hivi unaweza kusema nimeamka saa kumi na moja asubuhi..Jua likishachomoza tunaita asubuhi na hii huduma mpaka saa sita kamili ya asubuhi.
Saa kumi na kumi na moja ya usiku tunaita alfajiri.
 

Unajua mkuu mimi nimewasha moto kwenye nyasi halafu nakaa pembeni kufaidi wale wanyama wanaotoka humo

Sikua najua mambo mengi sana hasa haya ambayo Wickama anayasema na anajenga hoja yenye mashiko,sina cha kuongeza ila najitahidi kufuatilia sana anachokisema na nitafanya utafiti kujua hili

Natamani mkuu Wickama aendelee kutiririka hapa ili nifaudu maana anatoa vitu adim sana na ndio maana nakuwa mkimya sana wakati mwingine nikiwa msomaji zaidi!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hebu achana na hayo mambo ya kidini na turudi kwenye mada ....

Hebu tuangalie Waisraeli hasa ni akina nani na kama ni hawa walioko huko au ni wengine ....!!
 
Okay ni sawa mkuu... Ngojea tuendelee kujifunza zaidi...
 

Hahah Nimependa Mkuu Ulivoanza Kumuita Mbantu... Bila Shaka Kwa Taifa Letu Suala La Kuchukia Israel Au Palestine Ni Vitu FlaniAmbavyo Mimi Nachukulia Kama "Ulimbukeni" wa Kimawazo Na Kimtizamo
 
Mkuu wa chuo, hii mada ni ngumu sana. wala sidanganyi eti nina majibu. Lakini key word ya madhila ya hawa jamaa ni MELI. Kwamba huko utumwani lazima wangepelekwa na MELI. Kote wabantu walikopelekwa utumwani ni kwmba walipelekwa kwa MELI. Aya husika kwenye biblia zinataja mabaki yao kurudishwa toka maeneo yote ya dunia including VISIWA (refer carribeans etc). Kuna wabantu India, walisafirishwa kama watumwa and so many places.

Navyojua nikwamba kuna aya inataja kuwa Yahweh atasababisha hao israel kurudi kwenye ardhi aliwaahidi mababu zao. Sijui methodology.

Lakini definitely sio kama hii tulioona ya creation of the state of Israel kupitia kwa imposters wanaojiita wana wa Israel huku ni Khazar descendants

Ila sijui Yahweh atalimaliza vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…