Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Mkuu, hivi ile program uliyonielekeza huwa ina expire!? maana kwa sasa niki i click inaniambia ni dowload tena! nina video nyingi za Youtube nataka nizitizame, program naona inazingua kidogo...

Kama unaifungua halafu net yako kwenye PC au LapTop iko online hapo itakuwa inakuuliza kama unataka kuiupdate,ikitokea hiyo alert unaicancel tu halafu program inafunguka na unaendelea .....!!
 
Wakuu ...

Nimekuwa ni mfuatiliaji wa mambo kadhaa hapa ulimwenguni tangu siku moja nilipopewa jarida moja la habari na kukuta taarifa inayomhusu binadamu mmoja anaeitwa Rabi Leo Baeck ...

Jaria lile lilikuwa linasema mengi sana kuhusu kazi za huyu binadamu na mambo yake mengine mengi sana,lakini kitu ambacho kilinistua ni madai ya huyu mtu kuhusishwa na ile alama iliyoko kwenye bendera ya Israel,yaani ile nyota ya pembe sita maarufu kama hexagram

Nyota hii iliwahi kutumiwa na Ujerumani kwenye vita ya Spain ya mwaka 1936,inadaiwa kwenye bendera ya Israel ya kale kulikuwa na alama ya Simba,hata gazeti moja la Uingereza la mwaka 1933,British newspaper, wakati wa vita na Israel liliweka nembo ya Nazi na nembo ya simba kuwakilisha nchi zilizokuwa ziko vitani

Huyu jamaa ana historia na vinavyodaiwa vyama vya siri,lakini pia inadaiwa ana mahusiano na familia ya Adolf Hilter,hapo nilistuka kidogo,kuna mwana familia mmoja wa familia ya Hitler ambae alikuja kuuwawa aliwahi kudai kuwa hakukuwahi kuwepo kwa kitu kinachoitwa mauwaji ya halaiki ya Wayahudi mil 6,makala na maelezo ya huyu marehemu nimekuwa nikizitafuta na sizioni kabisa bali nakutana na nyi ngine tu ambazo zinarejea maelezo ya huyu jamaa

Lakini tofauti na haya,kuna madai kuwa hii Israel tunayoiona leo sio ile ya kale,yaani ile ambayo iko kwenye maandiko ya Biblia,hii ni fake

Najiuliza kama kuna ukweli juu ya hili,unaweza kujiuliza nimekuwaje hadi nimeamua kuuliza hapa,lakini ninachotaka kupata hapa ni maoni ya watu kama wanajua kitu hiki ambacho nakifanyia utafiti maana najua hapa kuna watu wa aina nyingi sana na wana vitu adimu kuacha wale ambao wanajadili mambo kwa kuongozwa na hisia za kidini na chuki

Kwasababu hiyo basi ningependa t ujaribu kulitazama hili ili angalau tufike mahali tusaidiane

Asante ....

Karibuni wakuu Mkuu wa chuo , juve2012 , Ntuzu charminglady Sangarara na wengine .......!!

umesoma kitabu chote hukuelewa halafu unatuuliza sisi ambao hatukukisoma
 
Last edited by a moderator:
Kama unaifungua halafu net yako kwenye PC au LapTop iko online hapo itakuwa inakuuliza kama unataka kuiupdate,ikitokea hiyo alert unaicancel tu halafu program inafunguka na unaendelea .....!!

Okay thanks mkuu, ngojea nifanye hivyo...
 
Mkuu Wickama na Mkuu wa chuo

Haya majina ya kichaga

Aika-Eli
Ana-Eli
N.k,kuna mahusiano na majina haya ya Kiebrania?

Mika-Eli
Rapha-Eli
N.k?

Maana naona kama yanatembelea mule mule!
 
Last edited by a moderator:
Story nyingine ya kustaajabisha ......

cc: Mkuu wa chuo Ishmael juve2012

Kiongozi:

Unajua haya mambo ni matamu sana.

Hebu fikiria:
1. Wanyama wote wapo Africa.
2. Dhahabu safi ipo Africa
3. Madini almost yote yapo Africa

In fact, hata wana historia wanasema Jamaa wa kwanza aliishi Africa. Olduvai Gorge.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Punjab Singh, shukran sana kwa hiyo link. Tatizo langu na hata ipo siku niliuliza mchangiaji mmoja humu JF kuwa kama population ya Jews ni kama alivyoripoti kwenye link uliyoitoa hapo juu;

Niliuliza kuwa kama AHADI ya Mwenyezi Mungu kuufanya UZAO wa ISAACK kuwa mchanga wa bahari ni takriban miaka 4000 sasa, na baada ya miaka yote hiyo 4000 hawa jamaa ni Milioni 13 tuuu, inatia mashaka sana ama kuhusu ukweli wa AHADI au walengwa (yaani UZAO wa Isaack) SIO hawa wanaoitwa JEWS leo.

Hakuna majibu stahiki niliyoyaona.

cc Ishmael, Mkuu wa chuo, Eiyer,

All followers of Jesus are Jews through the Blood.
 
really? i thought to be Jew you must come from a Jewish MOTHER or converted to Judaism
The term Jew is used in at least two senses in Scripture: to refer to those who are ethnically Jews and to those who are religiously Jews. Jesus was a Jew in both senses. In fact, he completed the Jewish religion by serving as the Messiah (Christ) whom the prophets had long foretold. That is why Christians are Jews through "THE BLOOD OF JESUS"

The completed form of the Jewish religion is known as Christianity, and its adherents are Christians or "followers of the Christ." Unfortunately, many people who were ethnically Jewish did not recognize Jesus' role as Messiah and so did not accept Christianity, the completed form of Judaism. Instead, they stayed with a partial, incomplete form of Judaism. Other Jews (the apostles and their followers) did recognize that Jesus was the Messiah and embraced the new, completed form of Judaism.

It is this difference between being a Jew ethnically and religiously that lies behind Paul's statement in Romans 2:28-29: "For he is not a real Jew who is one outwardly, nor is true circumcision something external and physical. He is a Jew who is one inwardly, and real circumcision is a matter of the heart, spiritual and not literal."

Christians are those who Paul refers to as being inwardly (religiously) Jewish, while non-Christian Jews are those who he refers to as being outwardly (ethnically) Jewish. The former condition, he stresses, is the more important.
 
The term Jew is used in at least two senses in Scripture: to refer to those who are ethnically Jews and to those who are religiously Jews. Jesus was a Jew in both senses. In fact, he completed the Jewish religion by serving as the Messiah (Christ) whom the prophets had long foretold. That is why Christians are Jews through "THE BLOOD OF JESUS"

well unfortunately this is NOW diffusing into areas that i willfully don't debate. I suggest we part here. I will save your points in memory that faith-wise Pope Francis is also JEWISH!!!
 
well unfortunately this is NOW diffusing into areas that i willfully don't debate. I suggest we part here. I will save your points in memory that faith-wise Pope Francis is also JEWISH!!!

Thanks and you are welcome.
 
well unfortunately this is NOW diffusing into areas that i willfully don't debate. I suggest we part here. I will save your points in memory that faith-wise Pope Francis is also JEWISH!!!
Mkuu kuna swali nimekuuliza kuhusu hayo majina hapo juu ...!
 
The term Jew is used in at least two senses in Scripture: to refer to those who are ethnically Jews and to those who are religiously Jews. Jesus was a Jew in both senses. In fact, he completed the Jewish religion by serving as the Messiah (Christ) whom the prophets had long foretold. That is why Christians are Jews through "THE BLOOD OF JESUS"

The completed form of the Jewish religion is known as Christianity, and its adherents are Christians or "followers of the Christ." Unfortunately, many people who were ethnically Jewish did not recognize Jesus’ role as Messiah and so did not accept Christianity, the completed form of Judaism. Instead, they stayed with a partial, incomplete form of Judaism. Other Jews (the apostles and their followers) did recognize that Jesus was the Messiah and embraced the new, completed form of Judaism.

It is this difference between being a Jew ethnically and religiously that lies behind Paul’s statement in Romans 2:28-29: "For he is not a real Jew who is one outwardly, nor is true circumcision something external and physical. He is a Jew who is one inwardly, and real circumcision is a matter of the heart, spiritual and not literal."

Christians are those who Paul refers to as being inwardly (religiously) Jewish, while non-Christian Jews are those who he refers to as being outwardly (ethnically) Jewish. The former condition, he stresses, is the more important.

That interpration you gave is not true Ishmael.

The jews as explained in that link http://www.jewfaq.org/whoisjew.htm above are only those who have jewish blood as descendant of Judah or those converted to Judaism, period!

• In the Bible, Jews were called Hebrews or Children of Israel

• The terms "Jew" and "Judaism" come from the tribe or kingdom of Judah

• "Jew" now refers to all physical and spiritual descendants of Jacob

• A person can be Jewish by birth or by conversion

• Traditionally, Jewish status passes through the mother, not the father

And beside Jesus being Jewish still the Jews denied the Ministry of Jesus and led to his Crucification.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom