tatizo hutaki kuwa open minded,nachofanya hapa nakupa concepts from different point of views,kama bado umejifungia kwenye box utapata shida kujua hasa nachotaka kuongea hapa.
still pia bado niko kwenye topic as far as the star of david is also in discussion au ulitaka tujadili nini hasa?
Lakini hakuna nyota inayoonekana saa moja asubuhi wala saa mbili.na hapa wazi kinachoongelewa ni ile nyota inayoonekanaga asubuhi iking'aa kabla hapajakucha,nyota hii actually ni sayari ya venus ,Iko tofauti sana mkuu ....
Alfajiri ni tofauti na asubuhi mkuu
Hata kwenye kiingereza kuna tofauti hii pia
Huwezi kusema jioni ni sawa na usiku!
Come up with rebutal, If you dare. when you have none you resort to name calling. Learn learn learn from the learned.
Kumbe una mipaka ,ok.Ok,nimekuelewa kuwa bado uko kwenye mada
Lakini hujaiuliza kama mimi niko kwenye box ningewezaje kuleta huu uzi hapa?
Kumbuka kuwa mimi ni Mkristo hivyo kama niko kwenye box sikupaswa kuleta uzi unaohusu taifa ambalo kwa mujibu wa imani yangu ni taifa takatifu
Keep that in mind!
Come up with rebutal, If you dare. when you have none you resort to name calling. Learn learn learn from the learned.
kama ungeelewa usingekua unabisha...Unadhani sijaelewa nini na wapi?
Hebu nieleweshe basi!
Mkuu nyota hii haina mahusiano yoyote na Daudi na ina mahusiano na watu flan hivi wanaitwa Tarot na hata ule YHWH ina historia na hao watu pia
Usishangae mkuu hebu watafute hao watu halafu utafakari,hao watu wanajulikana kwa ushirikina tangu zamani sana
Wana kitu kinaitwa Wheel of tarot na utazikuta nyota hizi pamoja na pentagram na nyingine nyingi,hebu kagua mkuu!
Eiyer, you did not pick this from my article?:Mkuu nakubaliana na wewe kwenye haya maelezo yako,tatizo la hii nyota ina historia ya kipagani zaidi ya ki-Israel na hapo ndipo ambapo najiuliza sana kulikoni
Ndio maana nimewaomba watu ambao wana mtazamo kinyume na wangu waje hapa tujadili hili maana naona linakwenda hata kuipeleka matatani hii modern Israel!
Hujui chochote wewe!
I did ........!!Eiyer, you did not pick this from my article?:
"The Magen David (shield of David, or as it is more commonly known, the Star of David) is the symbol most commonly associated with Judaism today, but it is actually a relatively new Jewish symbol.
Modern Israel
Why and how did the six-pointed star -- the pagan occult symbol -- become connected with the MODERN state of Israel?
"It was adopted as the family crest or shield by the Rothschild family during the 19th century.- The Rothschilds bought a great deal of property in Israel, from the Turks and Arabs, and were amongst the major supporters of the Zionist movement in the early decades.- The influence of the Rothschilds and their heavy financial support of Israel, led the Jewish nation to adopt the so-called "Star of David" as their own symbol as a nation."
----------- How amazing it is!- When we look at all the evidence, truly Satan the devil has deceived the whole world – all mankind – both Jews and Gentiles.- The Christians, so-called, adore the cross, which is an ancient pagan fertility symbol.- And likewise, the Jews cherish the Star of David or Seal of Solomon – the hexagram – which is another powerful occult sex symbol!
Now for every Israel lover would not agree and probably don't want to hear what is said here and would demand evidence from the holy scripture, but what the Christian God says? Here it is:
What Does GOD Say?
----------- What should God's people do about these things?- The prophet Jeremiah states, "Do not learn the way of the nations . . . For the customs of the peoples are FALSE" (Jer.10:1-3, NRSV).
---------- Moses wrote:- "You must demolish completely all the places where the nations whom you are about to dispossess served their gods [and their symbols] . . . Break down their altars, smash their pillars, burn their sacred poles with fire, and hew down the idols of their gods, and thus blot out their name from their places.- You shall not worship the LORD your God in such ways" (Deuteronomy 12:2-4).
----------- The apostle Paul wrote:- "Do not be mismatched with unbelievers.- For what partnership is there between righteousness and lawlessness?- Or what fellowship is there between light and darkness?- What agreement does Christ have with Belial?- Or what does a believer share with an unbeliever?- What agreement has the temple of God with idols?- For we are the temple of the living God; as God said, ‘I will live in them and walk among them, and I will be their God, and they shall be my people.- Therefore come out from them, and be separate from them, says the Lord, and TOUCH NOTHING UNCLEAN; then I will welcome you, and I will be your father, and you shall be my sons and daughters, says the Lord Almighty'" (II Cor.6:14-18, NRSV).
----------- As God's people, we should have NO PART in the use of these perverted and demonic symbols which have been the trademark of pagans, witches, and practitioners of the occult.- That includes both the falsely portrayed "Star of David," which has nothing to do with David, or the so-called "Christian cross," which has nothing whatever to do with the true Christ, Yeshua the Messiah, who died on an upright pole and not a cross!-
----------- As the apostle Paul declared, its time to repent and put away all these pagan emblems and symbols, and become holy and pure before God.- "While God has overlooked the times of human ignorance, now he commands all people everywhere to REPENT, because he has fixed a day on which he will have the world judged" (Acts 17:30-31).
----------- The apostle Jude declared, it is time we should "earnestly contend for the faith which was once delivered to the saints" (Jude 3, KJV).- Let's free ourselves from all such unholy influences.-------
BEWARE OF THE MASONIC INFLUENCE HERE IN THE MODERN DAY ISRAEL.
And I have some research on that and what is happening in Jerusalem right now as we discuss your thread.
Hiyo ambayo haina vowels ina shida gani mkuu...Yes ni hiyo ila ina matatizo yake mkuu ....!!
Hiyo ambayo haina vowels ina shida gani mkuu...
Ni kweli mkuu Jina la Mungu ni MIMI NIKO, vipi kuhusiana na Yehova!? Unafikiri ni kwanini hawa jamaa wamechepuka!?Hizo ni tetragramaton mkuu na zina historia yake ambayo sio nzuri pamona na maneno yote ambayo yametokana na hizo herufi 4 na wala hiyo sio lugha ya Kiebrania ni BabyliniaAramaic
Hiyo kitu Waisrael walikuja nayo kutoka utumwani Babylon kwenye miaka ya 500 B.K na haina uhusiano wowote na jina la Mungu
Jina la Mungu ni Ehyeh Asher Ehyeh kwa Kiebrania ambalo ni I AM THAT I AM [NIKO AMBAE NIKO]
Ni kweli mkuu Jina la Mungu ni MIMI NIKO, vipi kuhusiana na Yehova!? Unafikiri ni kwanini hawa jamaa wamechepuka!?
Kutoka 3:14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu.
Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Mkuu, Kuna hiyo YHWH ambayo inachanganya, hebu angalia na hizi mkuu... Yehova ipo kwenye Bible... Halafu YHWH inaelezewa kama MIMI NIKO, sijui kwanini imekuwa hivyo!?Yehova limetokana na hizo tetragramaton na kama zina msingi mbovu basi jina hilo sio sahihi
Na sijui hata limekuwaje ndani ya Biblia ....!!
Mkuu, Kuna hiyo YHWH ambayo inachanganya, hebu angalia na hizi mkuu... Yehova ipo kwenye Bible... Halafu YHWH inaelezewa kama MIMI NIKO, sijui kwanini imekuwa hivyo!?
Yehova-Elohim Bwana ni Mungu (Wangu) Mwanzo 2:7
Yehova-Jireh Bwana ni mpaji (Mwanzo 22:13-14)
Yehova-Tsidkenu Bwana ni haki (Yeremia 23:6)
Yehova-Ra'ah Bwana ni mchungaji (Zaburi 23:1)
Yehova-Rafa Bwana ni mponyaji (Kutoka 15:26)
Yehova-Shalom Bwana ni amani (Waamuzi 6:24)
Yehova-Nissi Bwana ni bendera (Kutoka 17:15)
El-Shaddai Mungu mwenye enzi (Mwanzo 17:1)
El-Elyon Mungu aliye juu zaidi (Mwanzo 14:18)
El-Roi Mungu aonaye (Mwanzo 16:13)
El-Olam Mungu aishiye milele (Mwanzo 21:33)