Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Hahahahaaaaaaa ...,ngoja nimuulize aisee ....

Dah,eti mkuu Punjab,haya ni kweli?

Hebu uje uturirike bana maana watu wameanza kushtuka na maelezo unayoweka hapa,wanadai eti una kopi na kupesti tu na hakuna fikra zako
Ni kweli mkuu, maana vitu ulivyowahi muuliza sijawahi kuona amejibu... cha zaidi anakupatia link na link zenyewe hata hazieleweki... ni kati ya watu wanaoona google haina mawaa...
 
Hahahahaaaaa ....

Mkuu ngoja tumsubiri tuone ...!!
 
Atiririke kivipi tena mkuu!? wakati vitu vingine ukimuuliza hajui, zaidi anakuletea li paragraph au link uende ukaangalie... kwasababu anajua huko huwezi kuuliza swali...

You guys you have to learn do it yourself exercises, do you think I am here to teach you? And you Mkuu wa chuo, I am not lecturer of Kivukoni College. For your information many sites I quoted here are educational sites, you can contact the publisher and ask what you want to know. But I should warn you that you are in for the tough ride because you will be asking a real Rabbii not an ordinary Jew.
 
Last edited by a moderator:

Duh! Aisee... Hivi watu wote kwenye forum tungekuwa tunaleta kitu, halafu tukiulizwa maswali... tunatoa contact wasiliana na hawa watu, unadhani ingekuwa vipi!?
 
lucifer anajulikana kama nyota ya asubuhi inayong'aa,na huyohuyo lucifer kwa maandiko ya bible ndo malaika alie asi mbinguni akatupwa duniani.
neno illuminati linatokana na hiyo lucifer ama nyota ya asubuhi.
rothchild ni member wa illuminati na huyohuyo ndo founder ama alifinance kuanzishwa kwa israel.
kwahiyo ukiunga doti hupaswi kushaNngaa kuhusu nyota ya kwenye bendera ya israel.

Mkuu nasikia na ile alama ya nyota na mwezi zinazochorwa misikitini ni walewale ndio maana malaika wa shetani(majini) hupenda watu wanaokwenda kuabudu humo na wao pia humuabudu humo bosi wao, hiyo unaifaham vipi?
 
Duh! Aisee... Hivi watu wote kwenye forum tungekuwa tunaleta kitu, halafu tukiulizwa maswali... tunatoa contact wasiliana na hawa watu, unadhani ingekuwa vipi!?

You know that you dont have knowledge of research that is why you want a free bee and whine like a baby. Poor you, I am not going to train you poor boy. If you will come to Gerezani I will connect you with the Temple Charity Program if you cannot afford.
 
Hahahahaaaaa ....

Mkuu ngoja tumsubiri tuone ...!!

If you Eiyer are also resorting to slander go ahead and we can change the direction of this discussion, but if you want constructive discussion and gain things you dont know then you are in for it and I will continue with you:

Judaism is a religion deeply rooted in sacred texts and textuality. Therefore, the texts of the Torah and the written interpretations of them are very important.

The term "Torah" refers most basically to the Jewish law that is found in the Hebrew Bible. However, the term can be used very narrowly or very broadly, depending on the context and who is speaking.

Sometimes the term refers only to the Pentateuch, which is comprised of the first five books of the Hebrew Bible: Genesis, Exodus, Leviticus, Numbers and Deuteronomy. Inside these books is contained the summary of the Jewish law, called the Ten Commandments, as well as the full listing of the 613 commandments that most Jews list as making up the heart of Jewish law.

The term also can be used to refer to the entire written Hebrew Bible, or the "Tanakh". The term "Tanakh" comes from the three main consonants that make up the word - T, N and K. T stands for Torah, N stands for Nevi'im (meaning "prophets"), and K stands for Ketuvim (meaning "writings'). These three - Torah, prophets and writings - make up the major divisions of the Hebrew Bible: the Pentateuch, the books written by prophets (like Isaiah, Jeremiah, Ezekial, etc.) and the writings (like Psalms, Proverbs, Song of Solomon and others).

Finally, the term can also be used to refer to the entire Hebrew Bible as well as to the Talmud, which is made up of a few centuries of rabbinic commentary on the Torah. Those using the term in this way sometimes divide Torah into 2 sections: the written law (the entire Hebrew Bible) and the oral law (the Talmud).

So, the Torah is a central part of the Jewish religion, and it means different things to different groups within it. Some of the main differences between Orthodox, Reform and Conservative Judaism come from their diverging views of it and its meaning.
 
Last edited by a moderator:
You know that you dont have knowledge of research that is why you want a free bee and whine like a baby. Poor you, I am not going to train you poor boy. If you will come to Gerezani I will connect you with the Temple Charity Program if you cannot afford.

Gerezani Kariakoo!? Sasa we Punja unataka mawazo yako yakubaliwe tu hata kama hayapo sawa, mtu aki challenge unaita slander, naona unampiga mkwara Eiyer, kwa hiyo anachotakiwa ni kukubali tu!?
 
Last edited by a moderator:
Gerezani Kariakoo!? Sasa we Punja unataka mawazo yako yakubaliwe tu hata kama hayapo sawa, mtu aki challenge unaita slander, naona unampiga mkwara Eiyer, kwa hiyo anachotakiwa ni kukubali tu!?

Where are from that you dont know mitaa of Dar? Indeed I am warning Eiyer, he is a good listner, tye sign of a good learner. He called you in this thread, his intention to call you if was to share than he is wrong because you cannot build a constructive argument. You resort to slander when you are outwitted.
 
Haya bana nikija Gerezani nitakutafuta, Halafu Punja Eiyer ameniita hapa tujadili na sio kwamba anatulia halafu naanza kumlisha matango pori akiniuliza maswali namuwekea link aende akasome kama bado akiwa na dukuduku namwambia hebu wasiliana na hao jamaa wa kwenye link, hatuendi hivyo Punja...

Hauwezi kutuambia Talmud ni written Torah na Oral Torah tuki challenge unaita hizo sio constructive argument, Hauwezi kutuambia Talmud ni Hebrew Bible tukishangaa na kukuuliza unaita Slander, Hauwezi kutuambia Pentateuch vinapatikana kwenye Talmud tukikuuliza unaita slander, Hivi constructive argument ni kuweka lile bandiko lako kwenye kila thread inayohusu Wayahudi!? mpaka Eiyer akakuuliza mbona hayo unayodai jamaa yake amekwenda huko Israel hajakutana nayo, na akakwambia kila jamii ina matatizo yake, hao Waarabu wenyewe wana matatizo yao...

Mpaka jamaa mmoja kule International forum akasema kama ni virahisi namna hiyo, basi mtu akahubiri Injili Iran na kwenye baadhi ya nchi za kiarabu aone...
 
Dont change the subject, bring the fact against what I have written about the Torah, The Tanaka, The Talmud and The Hebrew Bible:
 
Atiririke kivipi tena mkuu!? wakati vitu vingine ukimuuliza hajui, zaidi anakuletea li paragraph au link uende ukaangalie... kwasababu anajua huko huwezi kuuliza swali...

Why you cannot ask there? Because you are scared of them aren't you? You are scared to ask them because they will attest to what I am telling you and you also are scared of them because they know better on what they authored, thruth might hurt you. You are scared to ask because they are your masters and will punish you for your ignorance of the matters you always boasted to know. You are sacred to ask because you will have to come back and face your denial with a blurred face aren't you?
 
THE ILLUMINATI
To answer that question we go back almost another hundred years to what is now the feast of St. Joseph, the Worker, May 1, 1776. On that day a former Jesuit Catholic priest named, Adam Weishaupt, officially organized the Illuminati. The Illuminati, using protocols of Zionism, was the Synagogue of Lucifer or Angel of Light, ushering in the age of Enlightenment. Weishaupt, who took the name"spartacus" set up the Illuminati for the House of Rothschild. Father Weishaupt did this by taking control of the Masonic congress of Wilhelmsbad with the help of Rothschild. It was Weishaupt who convinced the Rothschilds that worship of Lucifer would bring power over the entire world. Weishaupt came to that belief from Scripture itself.
(Matthew 4:8-9)"Again the devil took him up inot a very hight mountain, and showed him all the kingdoms of the world, and the glory of them. And said to him, `All these will I give to you, if falling down you will adore me."
The purpose and goal of the Illuminati was to have a one world government with a puppet dictator controlled by the Rothschilds and their fellow billionairs. This world government would have a world religion, the religion of light, Lucifer. They felt then and feel now that their power comes from weekly worship of Lucifer

Lucifer represents the angel of light with individual intellect who ‘rebels’ against the outside ‘dark authority’. This is why he is called the ‘fallen angel.’ The dark and outside authority can be attributed to our flesh and fleshly desires coupled with the outside material world that attempts to take us away from the true light within each one of us. This darkness tries to fool us into looking without when we should have always been looking within the whole time. Hence, this is the whole illusion of the matrix in which Satan, the true prince of darkness that represents the flesh and free will is looking to control you, so you do not look within yourself for the “prince of light” or “the morning star.”

soma hizi zitakusadia
http://www.menorah.org/starofdavid.html

“But You God are a shield for me…” (Psalms 3:4). David refers here to God as being his ‘shield’. This brings us to the topic of the ‘Magen David’, [lit. shield of David] popularly know as ‘the Star of David’, and regarded as a symbol of Judaism. Strangely, there is no mention of this symbol or its meaning in any authoritative Jewish book.(http://www.simpletoremember.com/jewish/blog/star-of-david-origin/)

Kwa fasili gani unayotumia? Nitakutolea Mfano Hapa kidogo! Ktk mambo ya unabii Ukiona neno Maji humaani watu! Au mnyama humaanisha tawala! Sasa wewe ktk Hayo mafungu unatumia fasili gani? Naomba unijibu hili swali mkuu!

Mkuu #Ntuzu nn ambacho hauelewi, acha ushabiki wa dini.. ujifunze
 
actually walipoligundua tatizo hilo la kumuunga yesu kuwa ndo lucifer bible version mbalimbali zikafanya juhudi kubadili japo kwa machale ndo maana aya hii imejaribiwa kubadilishwa katika kila version ili kujalibu kufuta

Kwa hiyo ww mwabudu shetan, mjinga kabisa unayetumwagia mafundisho yako ya kipepo unamwita Bwana Yesu lucifer, nawe wajua kuwa lucifer ni malaika aliyeasi akashughulikiwa na malaika mikaeli, ref. Ufunuo 12:10 na kuendelea, Bwana Yesu ni Mungu mwenye Nguvu, ref. Tito 3:13 na kuendelea, ati unamfananisha na kamalaika kalioasi, utachomwa moto usipotubu na kumkubali Bwana Yesu kuwa ndo Mwokozi wako.
 
Haya bana nikija Gerezani nitakutafuta.

Mpaka jamaa mmoja kule International forum akasema kama ni virahisi namna hiyo, basi mtu akahubiri Injili Iran na kwenye baadhi ya nchi za kiarabu aone...

So you don't know that in Iran there are churches and synagogues, there is even a Jewish MP in their Parliament. Don't you know that the Jews, Zorastans and Christians of Iran are living side by side and a enjoying their full.rights as citizens of Iran as their Persian Musliman brothers and Sisters?

Dont you know that in the Emirates the Immigrants has outnumbered the citizen by 5:1 and majority are Christians and where do they worship? There are Churces built in the Arab Gulf countries.

Where has Christianity started did it start in Mwanza or Bukoba? May be this guy is right:

Watch "The Problem Of The Black Race - James David Manning" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=RzqbsAAa-k0&feature=youtube_gdata_player
 
If you Eiyer are also resorting to slander go ahead and we can change the direction of this discussion, but if you want constructive discussion and gain things you dont know then you are in for it and I will continue with you:

Judaism is a religion deeply rooted in sacred texts and textuality. Therefore, the texts of the Torah and the written interpretations of them are very important.

The term "Torah" refers most basically to the Jewish law that is found in the Hebrew Bible. However, the term can be used very narrowly or very broadly, depending on the context and who is speaking.

Sometimes the term refers only to the Pentateuch, which is comprised of the first five books of the Hebrew Bible: Genesis, Exodus, Leviticus, Numbers and Deuteronomy. Inside these books is contained the summary of the Jewish law, called the Ten Commandments, as well as the full listing of the 613 commandments that most Jews list as making up the heart of Jewish law.

The term also can be used to refer to the entire written Hebrew Bible, or the "Tanakh". The term "Tanakh" comes from the three main consonants that make up the word - T, N and K. T stands for Torah, N stands for Nevi'im (meaning "prophets"), and K stands for Ketuvim (meaning "writings'). These three - Torah, prophets and writings - make up the major divisions of the Hebrew Bible: the Pentateuch, the books written by prophets (like Isaiah, Jeremiah, Ezekial, etc.) and the writings (like Psalms, Proverbs, Song of Solomon and others).

Finally, the term can also be used to refer to the entire Hebrew Bible as well as to the Talmud, which is made up of a few centuries of rabbinic commentary on the Torah. Those using the term in this way sometimes divide Torah into 2 sections: the written law (the entire Hebrew Bible) and the oral law (the Talmud).

So, the Torah is a central part of the Jewish religion, and it means different things to different groups within it. Some of the main differences between Orthodox, Reform and Conservative Judaism come from their diverging views of it and its meaning.

So the Talmud ni mafundisho ya hao Rabbi,right?

If so, kwanini tujali sana kuhusu mafundisho ya watu badala ya Tanakah ambayo ndio hebrew bible?
 
So you don't know that in Iran there are churches and synagogues, there is even a Jewish MP in their Parliament. Don't you know that the Jews, Zorastans and Christians of Iran are living side by side and a enjoying their full.rights as citizens of Iran as their Persian Musliman brothers and Sisters?

Dont you know that in the Emirates the Immigrants has outnumbered the citizen by 5:1 and majority are Christians and where do they worship? There are Churces built in the Arab Gulf countries.

Where has Christianity started did it start in Mwanza or Bukoba? May be this guy is right:

Watch "The Problem Of The Black Race - James David Manning" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=RzqbsAAa-k0&feature=youtube_gdata_player

Mkuu,hili la Iran una uhakika nalo kweli?
 
Yes there are Iranian Jews. Some have migrated to Israel and some have stayed in Iran. Before the formation of Israel state a very good number of Jews lived in Iran and Arab countries. Some of those who have migrated to Israel still speak perfect Persian or Arabic. As a matter of fact in medieval period, Rabbis in the middle east used Arabic for their scholarly work.

Rabbis, Imams, Priests, Politicians have their own agendas. Unfortunately most of us are attracted to those agendas blindly. Take for example your first post. Remember that stars (nyota) were viewed differently in ancient time. They had a mythical or heavenly values. As such they were used as religious,tribal, or national symbols.

However, today we have different views of stars. Stars and our own sun have the same properties (burning gas). To humans, own sun is more important than other stars out there because without it we can't sustain life over here.

The stars you see in any flags are there for emotional and sentimental values. Humans have invented them to fulfill their political and religious agendas.
 
Dont change the subject, bring the fact against what I have written about the Torah, The Tanaka, The Talmud and The Hebrew Bible:
We ni wa ajabu sana, hicho unachokitaka nilikujibu kule International Forum, lakini nikirudi kwenye machine, nitakuwekea tena... hauna knowledge na unacho copy na ku paste... mimi Tanakh natumia, sasa wewe una copy na ku paste tu.... hauna uelewa na unachofanya...
 
Back
Top Bottom