Race and Intelligence: Je, Whites Wana akili zaidi ya Blacks?

Unaweza kutuambia labda sisi Waafrika tupo duniani kwa lengo gani? au tupo katika kitengo gani?

Tusije tukawa tunapoteza muda kufanya mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu, kumbe tuna strength zetu katika mambo fulani.
 
Kwanza wazungu ndo kina nani?
Manake unaweza kuta mtu mtaliano...ukaambiwa huyu Mzungu halafu huyo mtaliano akaenda ujerumani akabaguliwa na "Wazungu"...πŸ˜…
Kuepusha mkanganyiko wa namna hii, ndio maana mada imejikita kwa Whites(In general) and blacks(in general).
 
Elimu yote unayoiona. Kuanzia afya, chemistry, mashairi, sayansi ya anga, maigizo, majini nk, yote ambayo inatumika kuwapima watu uwezo wao wa akili ilianzia Afrika kwa mtu mweusi. Walivyo leo watu weusi ni fortunes tu zinakuja kuja na kupotea.
Katika hii nadharia ni rahisi sana kuipinga kuliko kukubaliana nayo, maana katika vitendo imethibitisha tofauti. Sijapinga, ila isije tukawa tupo kwenye mtego wa kujifariji tu.

Swali langu, unaamini vinakuja na kupita, right? So katika hii rotation tunaweza kuja kutake over the world, I mean sisi tukawa juu katika maendeleo kuliko wao?
 
Huyu jamaa kapatia kabisa.

Oneni, maendeleo hata yaliyomuwezesha Homo sapiens kuendelea kuwepo na hominid wengine kupotea ni lugha/mawasiliano.

Mawasiliano ni taarifa ifike na kueleweka kama ilivyoΔ·usudiwa. Mfano serikali ikisema tunajenga bwawa, basi kila mwananchi aelewe tunajenga bwawa la umeme. Sio mwingine aanze kusema ni ufisadi, sijui barabara hazina kiwango a aah!

Hapo ndio tunasema tunaongea lugha moja. Tukiliweza hilo maendeleo hayatapingika hata kidogo. Hebu itafsirini stori ya mnara wa Babel kwa staili hiyo.

Jamii inayoendekeza uongo, kusema mambo mengine na kumaanisha vingine, kugivha taarifa na tafiti na vumbuzi..... haiwezi kuendelea kwa kasi inayoridhisha.
 
"

hapa ndipo mada ya jamaa ilipo, kwa nini uwahiwe?kwa nini wawe wajanja?je tulipo jua tumewahiwa tumechukua hatua gani?
Wazungu/weupe mazingira Yao wanayoishi yaliwalazimisha watafute ufumbuzi wa changamoto zinazo wakabili. Sisi huku vipindi vya ya Hali ya hewa, ardhi yenye rutuba haihitaji mbolea vyote vinaturuhusu kuendesha maisha yetu bila akili kubwa. Haya maisha tunayoishi hatuna uasili nayo. Elimu, teknoljia, uchumi, lugha tunayotumia kupata elimu na ujuzi sio yetu. Tunaishi maisha artificial
 
Binadamu wote averagely Wana akili sema matumizi ndio yanatofautiana
 
sawa ushagundua hilo ,unatokaje hapo ili kurudi kwenye asili au hakuna haja ya kurudi kwenye asili yetu?
 
Aiseeh mzungu kiumbe hatari hakika mkuu

Lakini ningeomba kujua ukweli kuhusu sanduku la agano

je nikweli lipo africa,na ni inchi gani?

Vipi kuhusu edeni kuwai kuwepo Africa nikweli na ilikuwa kwenye inchi gani?

Na nini lipo nyuma ya hizo ice wall? Kwanini Wana minimize ukubwa wa bara letu je hii Ina wapa faida gani?

Nikuombe zaidi mkuu Kuna faida gani kwao kutuaminisha kwamba dunia ni duara/tufe badara ya tambalale?
Je wakituambia ni tambalale itawa punguzia nini?

Na mwisho nikuombe usiruhusu ufe nahaya mengi uya juayo bila kuacha kumbu kumbu hapa jf kwani hata wajukuu na vitukuu wako wajao watakuja kuwa wajinga na wapumbavu Kama sisi πŸ™πŸ™
 
Kila nikijaribu kutaka kuelewa ulichoandika???? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Attachments

  • FB_IMG_1676863269057.jpg
    99.9 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…