Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutuambia labda sisi Waafrika tupo duniani kwa lengo gani? au tupo katika kitengo gani?Narudia Tena
Wa Africa hatupo duniani kwa kazi hiyo.
Yaan race yetu ipo kwaajili ya kufanya Mambo mengine kabisaa....
Hayo mambo ya kuvumbua vumbua sio kitengo chetu...
Shida ni kua Kuna wajanja walituwahi kutupoteza kwenye rada kabla ya sisi wenyewe kujijua.....
Tunaweza kuchagua kusema maneno yote, lakini bahati mbaya kwenye matokeo ni tofauti.Waafrika wanaakili kuliko wazungu.
Kuepusha mkanganyiko wa namna hii, ndio maana mada imejikita kwa Whites(In general) and blacks(in general).Kwanza wazungu ndo kina nani?
Manake unaweza kuta mtu mtaliano...ukaambiwa huyu Mzungu halafu huyo mtaliano akaenda ujerumani akabaguliwa na "Wazungu"...😅
Elimu yote unayoiona. Kuanzia afya, chemistry, mashairi, sayansi ya anga, maigizo, majini nk, yote ambayo inatumika kuwapima watu uwezo wao wa akili ilianzia Afrika kwa mtu mweusi. Walivyo leo watu weusi ni fortunes tu zinakuja kuja na kupotea.
Huyu jamaa kapatia kabisa.Niko Ujerumani ninachoweza kusema sisi waafrika tuna akili sawa na Wazungu na pengine tumewazidi. Kinachowabeba wenzetu ni mila na desturi zao. Ni nadra huku Ujerumani kumkuta mjerumani anasema uongo au ha keep track ya muda wake. Hizo ni tabia chache tu. Zipo tabia nyingi sana ambazo hawa watu wanazo ambazo zinawapa kipaumbele.
Jamaa amekurupukaAcha kukurupuka.
Wazungu/weupe mazingira Yao wanayoishi yaliwalazimisha watafute ufumbuzi wa changamoto zinazo wakabili. Sisi huku vipindi vya ya Hali ya hewa, ardhi yenye rutuba haihitaji mbolea vyote vinaturuhusu kuendesha maisha yetu bila akili kubwa. Haya maisha tunayoishi hatuna uasili nayo. Elimu, teknoljia, uchumi, lugha tunayotumia kupata elimu na ujuzi sio yetu. Tunaishi maisha artificial"
hapa ndipo mada ya jamaa ilipo, kwa nini uwahiwe?kwa nini wawe wajanja?je tulipo jua tumewahiwa tumechukua hatua gani?
Na hizo tabia hawakuzipata mara mazingira na changamoto walizo kuwa wanakumbana nazo ziliwajenga kuwa na tabia hizoBasi hapo hapo ndipo wametuzidia akili.
sawa ushagundua hilo ,unatokaje hapo ili kurudi kwenye asili au hakuna haja ya kurudi kwenye asili yetu?Wazungu/weupe mazingira Yao wanayoishi yaliwalazimisha watafute ufumbuzi wa changamoto zinazo wakabili. Sisi huku vipindi vya ya Hali ya hewa, ardhi yenye rutuba haihitaji mbolea vyote vinaturuhusu kuendesha maisha yetu bila akili kubwa. Haya maisha tunayoishi hatuna uasili nayo. Elimu, teknoljia, uchumi, lugha tunayotumia kupata elimu na ujuzi sio yetu. Tunaishi maisha artificial
Kwa ushahidi gani?Waafrika wanaakili kuliko wazungu.
Aiseeh mzungu kiumbe hatari hakika mkuuBlack ni more intelligent than white why?
Sababu karibia ustaarabu wote umetoka afrika, technologia zote kubwa chanzo ni afrika kuanzia matibabu, hesabu, ujenzi, vita, Anga+unajimu, hata sasa ni vingi tu vinagunduliwa na mtu mweusi lkn havipati airtime kwa sababu maalumu waliyoitarget wao, na hata vumbuzi ikipata airtime basi wanaicopy kisiri na kusema ilishakuwepo au ni wao walio igundua.
Chanzo cha maisha dunian ni mtu mweusi bahati mbaya historia shuleni imetupotosha na mpaka dini zimedanganya.
Jamii ya watu weusi ilikuwepo dunian kwa miaka mingi mpaka pale watu weusi walipo danganyika kwa kuzaa na Viumbe wasio wakazi wa dunia ndipo ukaibuka uzao chotara wa watu weupe ambao nao waliunda jamii zao na falme zao.
Baada ya miaka mingi jamii hizo za watu weupe ambazo ziliishi mbali na ardhi ya mtu mweusi sababu ya usalama wao, zilianza kurudi afrika uku zikikuta maendeleo ambayo kwao hamna.
Na ujue kipindi hiko mtu mweusi alithaminika kama Mungu wa duniani maana ndiye baba wa races zote na kiumbe wa asili hivyo aliabudiwa na watu weupe(tafta historia utajua).
Baada ya falme za watu weupe kupata nguvu walianza kurud afrika kiushawishi kibiashara, wengine kufuata social services kama matibabu, ndipo ubaya ulipoanzia hapa, kama kawaida ukarimu wa mtu mweusi ulimponza kwa kuanza kuvujisha siri za maisha yake ya asili na Nguvu za kiroho,
Baada ya watu weupe kujua nguvu ya mweusi ipo vipi basi walifanya njama za kuubomoa ama kuharibu kabisa uzao wa watu weusi, njia walizotumia ni
1) kuleta uzao mpya wa machotara wa watu weupe ambao ungepunguza ama kuondoa idadi ya watu weusi how? Kupitia muingiliano wa watu weupe afrika, kuanzishwa kwa mataifa ya watu weupe afrika,
2)vita vya kila wakati, hii sababu ndio iliyo dhoofisha falme nyingi za afrika kuanguka kama vile falme ya Misri ya kale, falme ya Africa ya kati, falme ya Africa kusini,
3)kumtenganisha mtu mweusi na asili yake ya kiroho kupitia dini za uongo, hapa ndipo walipomuweza mtu mweusi kumtawala kiakili, kiroho mpaka kimwili kwa kumfanya ajione dhaifu na mnyonge yaani aamini Dunia inaongozwa na kiumbe aitwae Mungu, Mungu ambaye kaletwa na watu weupe, Mungu ambaye alishusha mitume na manabii kwa jamii special tu za watu weupe, Mungu ambaye hana nguvu za kujibu maombi mpaka umpe rushwa ya sadaka na matoleo mbalimbali, Mungu ambaye hasikii maombi mpaka uombe kwa lugha fulan ya watu weupe, Mungu ambaye anataka umuabudu siku fulan pia anakulazimisha umuabudu ilihali kakupa free willing na anashida ya wewe kumuabudu japokuwa ana Viumbe wengi huko mbinguni.
Walitupa Mungu ambaye ili umjue ni lazima ukatae baadhi ya asili zako kama majina ya ukoo na taratibu fulani za maisha, Mungu ambaye ili umjue lazima uamini kitabu fulani, Huyu ni Mungu waliyemuunda hao watu weupe wakishirikiana na baba zao wa kiroho(fallen angeles/aliens/mashetan) kuunda dini na kumletea muafrika kwa kumuaminisha mila zake ni upagani, hapa ndipo uovu ulipoanzia.
Unatakiwa kujua Hizo muvi wanazowaonesha haswa Hollywood sometime zina reflect maisha ya kwel japo kuna code mtu asiyefuatilia historia hawezi kujua, Afrika ilikuwa tajiri kwa kila jambo, afrika haijaanza kuvamiwa juzi kama tunavyodanganywa na historia madarasan kuwa wakolon walitutawala kuanzia karne ya 14, bali kwa maelfu ya miaka nyuma walikuwa wakijaribu kuitawala Africa na kufanikiwa kwao kuiweka afrika chini yao ndio hiyo miaka ya juzi ambapo Baada ya kutumia Siraha ya DINI ndipo walifanikiwa, why? Sababu walimtenganisha mtu mweusi na nguvu za kiroho ambapo watu weusi walizitumia kuwasiliana na Viumbe vyenye nguvu vilitoa nguvu+ maarifa ya jambo lolote na viumbe hivyo wao wanaviita malaika,
Mpaka sasa hatuna connection na Nguvu hizo za kiroho wala mawasiliano na viumbe hivyo kwakua tumeukana UTU wetu na kudandia Ubinadamu na utandawazi wa kijinga, Tumemkataa Muumba wa kweli na kuikumbatia mizimu ya watu weupe waliyotuaminisha , inaitwa Miungu kumbe kisiri ni mashetani.
Wazungu wajanja wanajua tu kama mkijua kuwa Ninyi watu weusi ndio Uzao wa asili basi mtawadharau wao,
wanajuwa mkijua ninyi mmeumbwa kwa UKUU na nguvu sawa na viumbe wa kiroho yaani ninyi ni ukoo mmoja na Viumbe wa kiroho(malaika) hivyo mtawatesa na kulipiza visasi kwao maana mtajua siri za kutumia nguvu zenu,
wazungu sio wajinga kusema mtu wa mwanzo katokana na nyani hiyo ililenga kutusahaulisha asili yetu ya Ukuu kuwa sisi ni Miungu duniani.
Mzungu si mjinga eti akwambie ukweli kuwa Malaika wote ni jamii ya watu weusi na mtu mweusi ndiye mzawa wa mwisho katika kundi la malaika, huku mtu mweupe akiwa kama Mvamizi dunian aliyezaliwa kwa bahati mbaya baada ya Mashetan kuzaa na mtu mweus ndipo ukaibuka uzao wa laana uliokosa Asili ya UUNGU yaani DNA na Melanini inayokupa nguvu na rangi nyeusi.
Mzungu sio mjinga akwambie kuwa biblia na Quran ni vitabu feki vilivyoundwa kwa kucopy maisha ya waafrika maelfu ya miaka iliyopita.
Mzungu sio mjinga akwambie Sanduku la Agano Lipo afrika ndiomaana wanarudi kwa visingizio vya utalii+uwekezaji wa madini na ardhi kumbe wanatafuta Mabaki ya nakala za kiimani ya watu weusi au Sanduku la Agano mlilodanganywa na biblia lipo huko Israel ya uongo.
Mzungu si mjinga akuoneshe ramani ya dunia ya uongo kwa kupunguza ukubwa wa Aaiseefrika na kuonesha ASIA kubwa zaidi.
Mzungu si mjinga kutuaminisha kuhusu umbo la dunia ni duara na hakuna ajuaye nini kipo huko atrantica(Round ice wall).
Mzungu si mjinga kumuweka hapo muarabu aikalie misri huku akipretend ni nchi yake na kumuweka myahudi pale middle east(kiimani kamuweka kusapoti kuwa israel ilishakuwepo kabla na ndio taifa lililowekwa utumwan misri kipindi cha musa, hivyo palestina ni ardhi yao).
Mtu mweusi ataendelea kuonekana kiumbe dhaifu, mjinga, mpumbavu na hana akili mpaka pale atakapotambua thamani yake
Niishie hapo nisiwachanganye.
Kila nikijaribu kutaka kuelewa ulichoandika???? 😂 😂 😂Black ni more intelligent than white why?

Mzungu si mjinga akuoneshe ramani ya dunia ya uongo kwa kupunguza ukubwa wa Afrika na kuonesha ASIA kubwa zaidi.