Rachel akana kutelekezwa na mwanaume Uarabuni

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
IMG_20171129_020741.png

Msanii wa muziki bongo Rachel maarufu kama Rachel Kizunguzungu, amefunguka juu ya sakata lake la kwenda nchi za Uarabuni na kukutwa na mabalaa, ikiwemo kutumia madawa ya kulevya na kutelekezwa huko na mwanaume aliyekwenda naye.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Rachel amesema ni kweli alikwenda Arabuni kwani ilikuwa ndoto yake tangu utotoni, na alipokwenda hukomilikuwa ni kutimiza ndoto zake na kuamua kubaki kwa muda kula raha.

“Kweli nilienda na nilienda na kazi zangu sio kwa ajili ya mapenzi, nakuhusu kubaki kule kule sikutamani, lakini ndoto zangu tangu niko shule ilikuwa kufika kwenye nchi za Arabuni, nikasema kwa nini nisikae hata miezi miwili mitatu tuienjoy! Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye ni mwarabu, na nilipokuwa kule nilikaa mwenyewe, sikupokonywa passport na wala sikuzidisha muda wa kukaa, nilikuwa nimekaa mwenyewe kwa raha zangu na mtu wangu, hizo stori ni watu tu kujiongeza”, amesema Rachel.

Rachel amesema hata taarifa za yeye kuwa kwenye hali mbaya akitumia madawa ya kulevya hazina ukweli, hivyo watu wasiamini maneno wanayoyasikia kwa watu.

Muungwana
 
Huyu demu anamengi tu yalichangia kumpoteza kuna jamaa yangu ni dereva wa malori mwaka jana walikutana na huyu demu kakola akapigwa sound akajaa jamaa akapmakia kwenye gari kuja nae dar kufika maeneo ya igunga walilala na kula mitungi mingi basi siku hiyo demu alipigwa mtungo wa hatali huku akiwa amelewa chakali hadi asubuhi bado alikua hajielewi, hii stori inafahamika sana na madereva wa malori kanda ya ziwa wanaoijia cement dar
 
View attachment 695700

Nilisikiliza interview kuanzia mwanzo mpaka mwisho,hayo maelezo yako sio sahihi na alichokisema Rachel....

Alisema hakuwahi kutumia madawa ya kulevya na alienda Oman kufanya show na akabaki huko kwa miezi miwili na mpenzi wake.
 
Kwanini binadamu wanapenda mwenzao apatwe na mabalaa?
 
Nilisikiliza interview kuanzia mwanzo mpaka mwisho,hayo maelezo yako sio sahihi na alichokisema Rachel....

Alisema hakuwahi kutumia madawa ya kulevya na alienda Oman kufanya show na akabaki huko kwa miezi miwili na mpenzi wake.
Huenda ujamwelewa. Ebu soma paragraph yake yamwisho yiko sawa namaneno yako.
 
Huyu demu anamengi tu yalichangia kumpoteza kuna jamaa yangu ni dereva wa malori mwaka jana walikutana na huyu demu kakola akapigwa sound akajaa jamaa akapmakia kwenye gari kuja nae dar kufika maeneo ya igunga walilala na kula mitungi mingi basi siku hiyo demu alipigwa mtungo wa hatali huku akiwa amelewa chakali hadi asubuhi bado alikua hajielewi, hii stori inafahamika sana na madereva wa malori kanda ya ziwa wanaoijia cement dar

Hiyo sio sifa. Kama msichana kaamua kujiachia na wewe maana yake kakuamini. Hata kama kazidiwa kwa hali yoyote ile, kama a gentleman au kibinadamu tu, unatakiwa umsaidie. Walivyofanya, kama kweli, ni ubakaji. Kitendo cha ubakaji hakikubaliki na jamii yoyote. Hiyo ni kesi kubwa sana, hapa Duniani msamaha anatoa Magufuli tu peke yake .
 
Pathetic.
 
Hiyo sio sifa. Kama msichana kaamua kujiachia na wewe maana yake kakuamini. Hata kama kazidiwa kwa hali yoyote ile, kama a gentleman au kibinadamu tu, unatakiwa umsaidie. Walivyofanya, kama kweli, ni ubakaji. Kitendo cha ubakaji hakikubaliki na jamii yoyote. Hiyo ni kesi kubwa sana, hapa Duniani msahaha anatoa Magufuli tu peke yake .
[emoji106]
 
Basi mnajiona wajanja kumbaka dada wa watu
 
Hiyo sio sifa. Kama msichana kaamua kujiachia na wewe maana yake kakuamini. Hata kama kazidiwa kwa hali yoyote ile, kama a gentleman au kibinadamu tu, unatakiwa umsaidie. Walivyofanya, kama kweli, ni ubakaji. Kitendo cha ubakaji hakikubaliki na jamii yoyote. Hiyo ni kesi kubwa sana, hapa Duniani msahaha anatoa Magufuli tu peke yake .
Namuomba Mungu anisaidie niendelee kuwa Gentleman, hasa kwa mabinti maana sisi wanaume binti akikutunuku sijui unamuonaje? Unamuona malaya
 
Huyu demu anamengi tu yalichangia kumpoteza kuna jamaa yangu ni dereva wa malori mwaka jana walikutana na huyu demu kakola akapigwa sound akajaa jamaa akapmakia kwenye gari kuja nae dar kufika maeneo ya igunga walilala na kula mitungi mingi basi siku hiyo demu alipigwa mtungo wa hatali huku akiwa amelewa chakali hadi asubuhi bado alikua hajielewi, hii stori inafahamika sana na madereva wa malori kanda ya ziwa wanaoijia cement dar

mwambie huyo jamaa yako kubakwa,hawabakwi mademu pekee ipo siku atakuja kukusimulia nayeye akibakwa.
 
Huyu demu anamengi tu yalichangia kumpoteza kuna jamaa yangu ni dereva wa malori mwaka jana walikutana na huyu demu kakola akapigwa sound akajaa jamaa akapmakia kwenye gari kuja nae dar kufika maeneo ya igunga walilala na kula mitungi mingi basi siku hiyo demu alipigwa mtungo wa hatali huku akiwa amelewa chakali hadi asubuhi bado alikua hajielewi, hii stori inafahamika sana na madereva wa malori kanda ya ziwa wanaoijia cement dar
.....Zama hizi wanatia demu mtungo?..majinga hayo majamaa aisee..
 
Kuna mazingira mengine ya kubakwa anatengeneza mschichana na ni dhahiri inatokana n malez binti aliyokulia. Unamwamini mtu kwa siku moja au mbili af unasema mtu wangu, km ni mlupo au easy girl tegemea lolote. Na ckuhiz watoto hao wanafanywa sn knyume na maumbile utawaonea huruma, kwa baadhi ya wanaume imeshakua fashen na vischana havina namna
Hiyo sio sifa. Kama msichana kaamua kujiachia na wewe maana yake kakuamini. Hata kama kazidiwa kwa hali yoyote ile, kama a gentleman au kibinadamu tu, unatakiwa umsaidie. Walivyofanya, kama kweli, ni ubakaji. Kitendo cha ubakaji hakikubaliki na jamii yoyote. Hiyo ni kesi kubwa sana, hapa Duniani msamaha anatoa Magufuli tu peke yake .
 
.....Zama hizi wanatia demu mtungo?..majinga hayo majamaa aisee..
Majinga! Hakuna ngono inayopitwa na wakati ndg, yalikuwepo toka enz za sodoma na yataendelea kuwepo. Watu wanapiga puchu hadi kesho we unashangaa mtungo? Vijana wanakwambia pilau mle wengi ndo linanoga, huku kwetu wakiwa wengi sn hiyo colabo wanaiita We are the World
 
Back
Top Bottom