Hakika mkuu..Very unfortunate watakuwa wameuwawa. Wabaya sana hawa watu/hii serikali
sio matusi yake kutoka kwenye hilo domo ndio muhimu zaidi yajumuishwe kwenye hiyo slogani nonsense gentleman?Ni ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era!
Tunafanyaje. Weka maoni yako.

Sawa tu, wapo wengi tunataka waachiwe au warudishwe wakiwa hai, sijui hata hao "viongozi" wataweza nini hapo.Ni ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era!
Tunafanyaje. Weka maoni yako.
Raia wa kawaida wanajua (with certainty) Lissu anashikiliwa Ukonga, lakini hawajui Polepole, Mdude, etc wako wapi or whether they’re still alive!Ni ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era!
Tunafanyaje. Weka maoni yako.
Nadhani walishauawa. Sidhani kama wako hai.Hakika mkuu..
Polepole na Mdude sidhani kama wako hai...
Ni hatari sana kuwa tofauti na serikali corrupt.
Lissu yuko hai kwa hakika na yuko mahabusu rasmiNi ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era!
Tunafanyaje. Weka maoni yako.
Hakuna jinsi? Why?Pole Pole hakuna jinsi atakuwa hai
MasikiniPole Pole hakuna jinsi atakuwa hai