Amesinyaa hatari , utadhani konokono kamwagiwa chumvi.Hahahaaaa hapana tunataka a-pay the price ya kuwatukana watu,na yeye mwezi huu wote huu aumbuke.
Nina hamu nimjue usipojipanga ntkuPanga..
Unamjua nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13]
Mi hapa jf kuna siku nsharusha picha uzuri kuna mtu ananijua akanishtua fastaa..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nkaiondoa@Bony...sisahau that day