Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Hahahaaaa hapana tunataka a-pay the price ya kuwatukana watu,na yeye mwezi huu wote huu aumbuke.
Amesinyaa hatari , utadhani konokono kamwagiwa chumvi.
Nyuma ya keyboard kwa I'd fake ni raha Sana ila ukitumia vibaya ndiyo malipo yake.
Atakuwa anaona aibu sana

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Nimefika ukomo wa Cheo yaani."Bar" hivyo kuwa Principal Officer na mbeleni ni miaka takribani 12 Kabla ya kufika umri wa kustaafu kwa lazima, je ndo inamaanisha sina Cheo kingine tena mpaka nitakapostaafu?
 
Hivi kuna mtu anayetukana wenzie kumshinda mange.?na yeye ndo kawafundisha hawa watoto.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
IMG_20180926_135436.jpgmakitu hiyo
 
Hahaha nakumbuka ulikuwa una lalamika mod wanazingua
Mi hapa jf kuna siku nsharusha picha uzuri kuna mtu ananijua akanishtua fastaa..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nkaiondoa@Bony...sisahau that day
 
Back
Top Bottom