Amesinyaa hatari , utadhani konokono kamwagiwa chumvi.Hahahaaaa hapana tunataka a-pay the price ya kuwatukana watu,na yeye mwezi huu wote huu aumbuke.
Nyuma ya keyboard kwa I'd fake ni raha Sana ila ukitumia vibaya ndiyo malipo yake.
Atakuwa anaona aibu sana
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
