Rachel Temu aumbuka vibaya leo

recho kamzidi mange kusema kweli.
 
Hajaumbuka huyo, alikuwa kaamua kujilipua tu watu tumjue zaidi.

Ni njia mpya za kutafuta mabwana, sasa akijificha mabwana watamjuaje?

Ona hata mimi nilikuwa simjui sasa nimemjua.

Lakinimi hanipati, Bi Zuhura kashaniwahi.
 
sakina lyoka tena! amekosa nini yule mama mbona huwa naona anajiheshimu sana!
 
Hivi kwanini watanzania wanatukana sana katika social network, hivi insta za watu wa nchi nyingine nazo ni matusi tu
 
Katukana mpaka watu wake wa karibu huyo rachel jamaan leo ndio wanashangaa kumbe rafiki yetu ndio anatutukana kila siku usiwafanyie wenzio ubaya bila sababu
[emoji1] [emoji1] kama wolper anajifanya binamuu kumbee[emoji2] [emoji2]
 
He he he mwisho wa ubaya ni aibu.
Ngoja miye nikapekenyue zaidi.
Mpenzi

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Shikamoo mkuu nimepitia kila komenti yako unaonekana upo vizuri kwenye mambo haya ya umbea[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…