Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Hamshindi mange ila recho alikuwa anatembelea kivuli cha fake account kutukana watu ambao hadi wengine ni marafiki zake.
Mfano Mimi nikiwa kwenye account yangu nakuheshimu wewe ila kumbe Nina account nyingine nakutukana sana. Kinachotisha siyo matusi ila ni vile alikuwa mnafiki kuzunguka watu na kuwatukana.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
recho kamzidi mange kusema kweli.
 
Hajaumbuka huyo, alikuwa kaamua kujilipua tu watu tumjue zaidi.

Ni njia mpya za kutafuta mabwana, sasa akijificha mabwana watamjuaje?

Ona hata mimi nilikuwa simjui sasa nimemjua.

Lakinimi hanipati, Bi Zuhura kashaniwahi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo yule alikua anadili na watu wengi tofauti na mange

Ona anavyomtukana mobeto na ana mitusiiii...balaaa...mimi nimefurahi kweli leo alivyojulikana live mfano wema kila siku anamtukana jaman hajamkosea chochote,Sakina lyoka nae chupuchupu aumbuliwe!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
sakina lyoka tena! amekosa nini yule mama mbona huwa naona anajiheshimu sana!
 
Hivi kwanini watanzania wanatukana sana katika social network, hivi insta za watu wa nchi nyingine nazo ni matusi tu
 
Katukana mpaka watu wake wa karibu huyo rachel jamaan leo ndio wanashangaa kumbe rafiki yetu ndio anatutukana kila siku usiwafanyie wenzio ubaya bila sababu
[emoji1] [emoji1] kama wolper anajifanya binamuu kumbee[emoji2] [emoji2]
 
He he he mwisho wa ubaya ni aibu.
Ngoja miye nikapekenyue zaidi.
Mpenzi

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Shikamoo mkuu nimepitia kila komenti yako unaonekana upo vizuri kwenye mambo haya ya umbea[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom