Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
recho kamzidi mange kusema kweli.Hamshindi mange ila recho alikuwa anatembelea kivuli cha fake account kutukana watu ambao hadi wengine ni marafiki zake.
Mfano Mimi nikiwa kwenye account yangu nakuheshimu wewe ila kumbe Nina account nyingine nakutukana sana. Kinachotisha siyo matusi ila ni vile alikuwa mnafiki kuzunguka watu na kuwatukana.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app