Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Duh, huu uzi ni kama umemfuata mkeo salon, alafu akakwambia ukae umsubiri...kama una roho nyepesi utaondoka tu akimaliza aku beep.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kidogo sasa.
Mimi nilimfollow akaniblock.
Alikuwa anamtukana chaga lakini kwa maisha ya account yake ya kawaida ni mashostito.
Leo chaga kagundua "kikulacho kii nguoni mwake"
Wahenga walisema

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Kweli wahenga waliona mbali jamaan
 
Kwa hiyo huyo Recho ana matusi kumshinda Mange?
mimi nilikuwa siamini kama ni Recho,yale matusi ya uswahilini kabisa-kafanya mistake technology imemuumbua-my main worry is kuna watu mbadala hawausiki kawatukana sana-wapi ataficha sura yake na je na hizi sheria za mitandao will she walk away scot free?? I feel sorry for her
 

Duh...kumbe kuna mengi huko Instagram....
 
Fekero halijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Recho temu.
Mchaga kaumbuka

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 


Huenda labda wanashea Bwana....mjini hapa
 
Shosti kitaaaambo mange alishatangaza kuwa rechel ndio kipaza sauti....


Na dada yaje ana akaunti ya kusuta watu pia


Ila huu ubuyu leo umenipitamo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shoga nenda kwa mange nakuambia leo anabadili tu akaunti mara uliyemkataakaja au kanyagatwendee....aibu imemkutaaa mpk bas
Linda je....

Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua


Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???

Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Anamwandamaga sana wema


Kuna kipindi alimuandama Miriam Odemba kisa alicoment kwa mange

Acha yamkute

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Mange alisema kabisa kua huyo kichwa ni recho na dada ake,,mi niliamini na leo yametokea
 
Itakuwa tumepishana kwa mange.
Nimemchamba mpaka.
Yupo anadelete post ha ha ha.
Aibu isiyo ya kawaida hii jamani..
Mweee mweee mweee

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Sojui akikutana na akina wema ataweka wapi sura yake

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Anamwandamaga sana wema


Kuna kipindi alimuandama Miriam Odemba kisa alicoment kwa mange

Acha yamkute

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] leo leo kaumbukaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…