Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, huu uzi ni kama umemfuata mkeo salon, alafu akakwambia ukae umsubiri...kama una roho nyepesi utaondoka tu akimaliza aku beep.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, huu uzi ni kama umemfuata mkeo salon, alafu akakwambia ukae umsubiri...kama una roho nyepesi utaondoka tu akimaliza aku beep.
Kweli wahenga waliona mbali jamaanKidogo sasa.
Mimi nilimfollow akaniblock.
Alikuwa anamtukana chaga lakini kwa maisha ya account yake ya kawaida ni mashostito.
Leo chaga kagundua "kikulacho kii nguoni mwake"
Wahenga walisema
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani kama namuonaakili hana yule...!!!Mungu kamdhalilisha haswaa
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Utawaweza hao watu wa insta mkuu....Hayo mambo kumbe bado yanaendelea?
mimi nilikuwa siamini kama ni Recho,yale matusi ya uswahilini kabisa-kafanya mistake technology imemuumbua-my main worry is kuna watu mbadala hawausiki kawatukana sana-wapi ataficha sura yake na je na hizi sheria za mitandao will she walk away scot free?? I feel sorry for herKwa hiyo huyo Recho ana matusi kumshinda Mange?
mimi nilikuwa siamini kama ni Recho,yale matusi ya uswahilini kabisa-kafanya mistake technology imemuumbua-my main worry is kuna watu mbadala hawausiki kawatukana sana-wapi ataficha sura yake na je na hizi sheria za mitandao will she walk away scot free?? I feel sorry for her
Yaani she just does not look the part,middle class upbringing,who couldn't harm a fly.Bongoland instragam is currently in a state of utter shockDuh...kumbe kuna mengi huko Instagram....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo yule alikua anadili na watu wengi tofauti na mange
Ona anavyomtukana mobeto na ana mitusiiii...balaaa...mimi nimefurahi kweli leo alivyojulikana live mfano wema kila siku anamtukana jaman hajamkosea chochote,Sakina lyoka nae chupuchupu aumbuliwe!
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Mrembo mwenye undugu na Miss Tz 1999 Rachel Temu ambae amekua maarufu haswa baada ya kua wanarushiana maneno sana na Mange Kimambi Leo ameumbuka vibaya mnoo baada ya kujulikana kwa akaunti yake fake inayojulikana kama KipazaSautiOriginal
Akaunti hiyo ya kipaza sauti imekua ikitumika kutukana na kudhalilisha watu wengi maarufu,akiwemo Wema Sepetu,Hamisa Mobeto,Albert Msando na wengineo ambao amekuwa akifichua siri
Inadaiwa kwamba mrembo huyo alirusha sura yake halisi kwenye insta live na ndipo watu wakaanza kumuuliza"kumbe we kipaza sauti"[emoji3] [emoji3] [emoji3] maana siku zote amekua akidanganya kua yuko Marekani na ameolewa na ana watoto wakati Rachel mwenyewe hajaolewa wala hana watoto.
Baada ya kuona kashtukiwa kua ndo yeye akazima haraka insta live lakini akajikuta ameshachelewaaa
..watu wameshaskrini shot sura yake na kuisambaza kwa hasimu wake Mange kimambi!
Ushauri;Pole Rachel kwa kuumbuka vibaya maana yale matusi uliyokua unatukana aiseeehhh...hufanani nayo hata kidogo..ila daah teknologia haijawahi kumuacha mtu salama..
Coffee table,Malkia wa kuchamba na wengineo mnaolipwa kutukana watu...SIKU ZENU ZA KUUMBUKA ZINAKUJA
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Twende wote...Hehehehehehee.
Mwisho wa ubaya ni aibu.
Ataficha wapi sura yake.?
Ngoja niende insta mie
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Linda je....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shoga nenda kwa mange nakuambia leo anabadili tu akaunti mara uliyemkataakaja au kanyagatwendee....aibu imemkutaaa mpk bas
Anamwandamaga sana wema[emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo yule alikua anadili na watu wengi tofauti na mange
Ona anavyomtukana mobeto na ana mitusiiii...balaaa...mimi nimefurahi kweli leo alivyojulikana live mfano wema kila siku anamtukana jaman hajamkosea chochote,Sakina lyoka nae chupuchupu aumbuliwe!
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
MileleHayo mambo kumbe bado yanaendelea?
Sojui akikutana na akina wema ataweka wapi sura yakeItakuwa tumepishana kwa mange.
Nimemchamba mpaka.
Yupo anadelete post ha ha ha.
Aibu isiyo ya kawaida hii jamani..
Mweee mweee mweee
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app