cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ndo shida ya kua na fekero huku una simu moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mrs Van
Alisahau ku-switch accountYaani hapana mtu huwezi kufanya hayo kwa akili fupi hivyo kabisaaaa na kutokuwekeza kwa kutumia pesa.
Watu wengine bado tunatumia vitochi kwa sabbau tofauti
Yeye anaenda kutumia smartphone na kuweka account zote za instagram kwa simu moja kweli ni mpumbavu na jinga kubwaaaaa kabisaaaa.
Nimecheka kwa saut..dunia itasimama kwa dakika 15bila kupumuaTusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
A/c ya kawaida anatumia jina gani ukiachana na fekero yakeAliwahi kunitukana akaniblock kwenye account yake original.
Nikamchalange kwenye kipazasauti akanifuata DM akanitukana akaniblock.
Matusi yalikuwa Yale Yale kwanzia hapo nikamwamini mama kenzo.
Yaani Leo Nina furaha alivyoumbuka ha ha ha
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Nimekuja kuangalia tu kama uko salama...Mange anasema dua zake zimesikizwa mjini kuna mambo
Eti umbea umeanza lini wewe mama wa watoto wangu?Days of our Lives
Isidingo the need..
Asante la azizNimekuja kuangalia tu kama uko salama...
It was ment to beHana akili
Angetumia simu nyingine kabisa ya kufanya hiyo kazi ya udaku.
Yupo humu JFTusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
Hahahakuna watu huu uzi umefanya nipoteze kabsa heshima nlo kuwa nayo kwao.
japo sielewi hata kimoja walicho ongea.
Mkuu hii ni kaidi
Leo raaaaaaaaaaha. Heheheheeeeee.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Ila ile ya mapya 2 imenifunza ni nani mgeni wa kumwalika kwako na kukaa nae, si kwa pichu zile na kuhesabiwa chips.Kichwa panzi alidakwa na mange.
Akafunguliwa kesi , akapostiwa picha zake. Mbona aliikimbia account yake.
Bora angeendelea kupost. Ila aliacha hivyo inamaanisha ni yeye yule aliyedakwa.
Basi akabadilishaga na jina.. Aka unfolow watu sasa hivi sijui kama ile account ipo tena.
Mapya 2 bado siku yake. Ha ha ha
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
usiku huu unawanga?Hahaha
Utaelewa tuu