Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Naisubir kwa hamu picha ya huyu muhenga

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Muhenga huyo apooo hivi upo jamaan nimekumiss
e27b1c7f9fada1ba8fa454df704bebf3.jpg
 
Umeumbuka mkaka kama recho vile,ulikurupuka ili uje umquote ngabu afahamu uwepo wako aisee

Uchochezi huo,nyani ngabu nimeishi nae jungle for many years mpaka tumekuwa manyani wazee,manyani wazee hueshimiana manyani vijana ndio wanasumbua unaweza kushangaa kakugusa vyumbu
 
Aisee usidanganyike ndugu. Huyo Rachel kama ni matusi amezidi Mange cha mtoto. Nakumbuka kuna siku nilimkosoaga huyo kipaza alinitukana sana. Yale matusi sijui ni ya nchi gani Yale wallahi.
ana matusi ya kiswahili haswaaa yaani km amekulia tandale au manzeseee
 
Ona unavyojiumbua zaidi mkuu,umejiunga march 2017 halafu unajiita mkongwe humu au umesahau upon kwa ka ID ka new generation?
Uchochezi huo,nyani ngabu nimeishi nae jungle for many years mpaka tumekuwa manyani wazee,manyani wazee hueshimiana manyani vijana ndio wanasumbua unaweza kushangaa kakugusa vyumbu
 
Ona unavyojiumbua zaidi mkuu,umejiunga march 2017 halafu unajiita mkongwe humu au umesahau upon kwa ka ID ka new generation?

Nimejiunga march,2017 lakini ni expert member kuna watu humu toka waingie 2008 bado ni member,for this reason nakubalika
 
Sababu yako haijakamilisha maelezo. Kuwa expert member ni dakika tano tu siku hizi tofauti na hao wa zaman. Kubalika kwa wingi wa likes na messages sio cheo,cheo bila pesa ni sawa na picha ya kuchora tu.
Nimejiunga march,2017 lakini ni expert member kuna watu humu toka waingie 2008 bado ni member,for this reason nakubalika
 
Watoto wa line polisi tena apo wanachukulia ajal kazini [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]

so what?
 
Back
Top Bottom