Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mambo ya kutumia acc mbili kwa simu moja ndio yanawaumbua anajua yupo kwenye acc ya og kumbe fakeYaan wanakua huru kisa fake accounts. Insta wamezidi wanakosoa hata visivyokosoleka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kutumia acc mbili kwa simu moja ndio yanawaumbua anajua yupo kwenye acc ya og kumbe fakeYaan wanakua huru kisa fake accounts. Insta wamezidi wanakosoa hata visivyokosoleka
Muhenga huyo apooo hivi upo jamaan nimekumissNaisubir kwa hamu picha ya huyu muhenga
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] za mwizi arobain
Sasa Tesha anakosa gan? [emoji124][emoji124][emoji124]
Mambo ya kutumia acc mbili kwa simu moja ndio yanawaumbua anajua yupo kwenye acc ya og kumbe fake
Hapana anatumia acc mbili simu moja insta wana hiyo opt ukitaka unaswitch acc usiyotaka kutumiaAu alikua anatumia simu tofauti ila za kufanana.
Kabisaayaani nimeamini maisha bila unafki hayaendi
Umeumbuka mkaka kama recho vile,ulikurupuka ili uje umquote ngabu afahamu uwepo wako aisee
ana matusi ya kiswahili haswaaa yaani km amekulia tandale au manzeseeeAisee usidanganyike ndugu. Huyo Rachel kama ni matusi amezidi Mange cha mtoto. Nakumbuka kuna siku nilimkosoaga huyo kipaza alinitukana sana. Yale matusi sijui ni ya nchi gani Yale wallahi.
Hapana anatumia acc mbili simu moja insta wana hiyo opt ukitaka unaswitch acc usiyotaka kutumia
Uchochezi huo,nyani ngabu nimeishi nae jungle for many years mpaka tumekuwa manyani wazee,manyani wazee hueshimiana manyani vijana ndio wanasumbua unaweza kushangaa kakugusa vyumbu
Ona unavyojiumbua zaidi mkuu,umejiunga march 2017 halafu unajiita mkongwe humu au umesahau upon kwa ka ID ka new generation?
Nimejiunga march,2017 lakini ni expert member kuna watu humu toka waingie 2008 bado ni member,for this reason nakubalika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] id mbili hazijawahi muacha mtu salama
We Mama weeewe em kua mpole basOna unavyojiumbua zaidi mkuu,umejiunga march 2017 halafu unajiita mkongwe humu au umesahau upon kwa ka ID ka new generation?
Sababu yako haijakamilisha maelezo. Kuwa expert member ni dakika tano tu siku hizi tofauti na hao wa zaman. Kubalika kwa wingi wa likes na messages sio cheo,cheo bila pesa ni sawa na picha ya kuchora tu.