Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Jichanganye na wewe akusambazie
Siwezi mama watoto wangu (Japokuwa kwako mapenzi yamepungua sababu nilipotekwa na watu wasiojulikana wala hukuhangaika kunitafuta)

Nipo makini sana kwa Hilo wala usitie shaka Khantwe wangu
 
Jamani ningekutafutia wapi mimi...nikajua labda umetelekeza Id si unajua ndo habari ya hapa mujini jamiiforums siku hizi[emoji23] [emoji23]
 
Hahaha, Kuna sababu nyingi za watu kutelekeza ID humu ndani...mojawapo ni

Kujitoa kutumia huu mtandao.

Kuharibu kwa namna moja au nyingine, mfano Kuna demu namjua humu kagawa sana papuchi yake kwa mijamaa ya humu baadae ikawa ikagunduana na kuanza kumsema.

Same applies kwa baadhi ya men pia.

Sababu nyingine ni kufariki, kufungwa jela, kuzuiwa na watu wao wa Karibu kutumia JF, kutokuwa na smartphone nk.

Ila case yangu mm Ilikuwa ni kutekwa na watu wasiojulikana.....we acha Khantwe!
 
Hahaa nikajua umeharibu na wewe. Pole bwana ila ujifunze kuwa ukipata kabinti uwe unaaga nyumba kubwa kwanza upewe go ahead sasa ukajifanya kunizunguka ona sasa sikuweza kujua hata wapi kwa kukutafutia
 
Ah tatizo Ww kipindi kile natekwa na watu wasiojulikana ulikuwa unanisalitii kwa kajamaa fulani huku ndani, alikuwa mwalimu mikoa ya kanda ya ziwa huko km sikosei, ikabidi nikuache kwanza nilijua Upo siku mwenyewe utarudi tu.

Na kweli Umerudi mpenzi wangu,

Na mm kisa cha kutekwa nilikuwa nachepuka na mchepuko wa mkubwa mmoja huko kwny idara nyeti, jamaa akaamuru vijakazi wake waniweke safe house kwa miezi kadhaa.

Ila kwa bahati Nzuri sikufanyiwa kitu mbaya km alivofanyiwa Roma wa RC
 
Sasa hivi tushikamane sasa michepuko sio dili
 
Rachel miwaya kacharuka huko povuu linamtoka afu anajidai ye jasiri anataka aonekane na yy km Mange
 
Mbona kama ni marketing in a very old fashioned way??....wanawake bwana!
 
Hata sielewi haya yatakuwa mambo ya daslamu.. Niwaachie
 
Kama viongoz wamelala acha aseme tu maana hakuna namna
Viongozi wameshindwa nini? ni wapi Hyatt wamevunja sheria? Hivi huyo Recho una mfahamu vyema? kamuulize kwanini alifukuzwa huko Guru kama ni mtu muhimu au mjuvi kama anavyo taka kutuambia hapa? analipwa vipesi kuwachafua Hyatt bure tuu wakati wakati kuna hotel zina bei zaidi ya hiyo.
Kwanza Recho mwenyewe sasa hivi ana shida ya kichwa kabisa anachojua ni matusi tuu anataka kujifanya na yeye ni tahira kama Mange.....
Recho ana hitaji matibabu ya afya ya akili.....kufukuzwa kazi kulimchanganya sana......
Moja ya sababu ya mahotel kuto waajiri watanzania ni kuongea sana na majungu kuliko kupiga kazi....
 
Ndio kabisa nasikia hizi hotel wazawa wanalipwa laki na nusu au laki mbili halaf wageni wanalipwa pesa ndefu kweli hapo namuunga mkono
Ndo hotel nyingi za kibongo salary laki na 20 na 50 kwa watu was service wale chefs wanalambaga laki 2 ,hiyo kwa wazawa ila wageni kuanzia laki 5 mpaka milioni kadhaa ,halafu wazawa ndo wanafanya kazi kubwa katika kuendesha shughuli zote za hotel
 
Back
Top Bottom