Siwezi mama watoto wangu (Japokuwa kwako mapenzi yamepungua sababu nilipotekwa na watu wasiojulikana wala hukuhangaika kunitafuta)Jichanganye na wewe akusambazie
Jamani ningekutafutia wapi mimi...nikajua labda umetelekeza Id si unajua ndo habari ya hapa mujini jamiiforums siku hizi[emoji23] [emoji23]Siwezi mama watoto wangu (Japokuwa kwako mapenzi yamepungua sababu nilipotekwa na watu wasiojulikana wala hukuhangaika kunitafuta)
Nipo makini sana kwa Hilo wala usitie shaka Khantwe wangu
Hahaha, Kuna sababu nyingi za watu kutelekeza ID humu ndani...mojawapo niJamani ningekutafutia wapi mimi...nikajua labda umetelekeza Id si unajua ndo habari ya hapa mujini jamiiforums siku hizi[emoji23] [emoji23]
Hahaa nikajua umeharibu na wewe. Pole bwana ila ujifunze kuwa ukipata kabinti uwe unaaga nyumba kubwa kwanza upewe go ahead sasa ukajifanya kunizunguka ona sasa sikuweza kujua hata wapi kwa kukutafutiaHahaha, Kuna sababu nyingi za watu kutelekeza ID humu ndani...mojawapo ni
Kujitoa kutumia huu mtandao.
Kuharibu kwa namna moja au nyingine, mfano Kuna demu namjua humu kagawa sana papuchi yake kwa mijamaa ya humu baadae ikawa ikagunduana na kuanza kumsema.
Same applies kwa baadhi ya men pia.
Sababu nyingine ni kufariki, kufungwa jela, kuzuiwa na watu wao wa Karibu kutumia JF, kutokuwa na smartphone nk.
Ila case yangu mm Ilikuwa ni kutekwa na watu wasiojulikana.....we acha Khantwe!
Ah tatizo Ww kipindi kile natekwa na watu wasiojulikana ulikuwa unanisalitii kwa kajamaa fulani huku ndani, alikuwa mwalimu mikoa ya kanda ya ziwa huko km sikosei, ikabidi nikuache kwanza nilijua Upo siku mwenyewe utarudi tu.Hahaa nikajua umeharibu na wewe. Pole bwana ila ujifunze kuwa ukipata kabinti uwe unaaga nyumba kubwa kwanza upewe go ahead sasa ukajifanya kunizunguka ona sasa sikuweza kujua hata wapi kwa kukutafutia
Sasa hivi tushikamane sasa michepuko sio diliAh tatizo Ww kipindi kile natekwa na watu wasiojulikana ulikuwa unanisalitii kwa kajamaa fulani huku ndani, alikuwa mwalimu mikoa ya kanda ya ziwa huko km sikosei, ikabidi nikuache kwanza nilijua Upo siku mwenyewe utarudi tu.
Na kweli Umerudi mpenzi wangu,
Na mm kisa cha kutekwa nilikuwa nachepuka na mchepuko wa mkubwa mmoja huko kwny idara nyeti, jamaa akaamuru vijakazi wake waniweke safe house kwa miezi kadhaa.
Ila kwa bahati Nzuri sikufanyiwa kitu mbaya km alivofanyiwa Roma wa RC
Kwahiyo mkuu JF mzima unaijua?Nah!
Akipatikana mkali kuliko Mzigua naachana na JF mazima....
Viongozi wameshindwa nini? ni wapi Hyatt wamevunja sheria? Hivi huyo Recho una mfahamu vyema? kamuulize kwanini alifukuzwa huko Guru kama ni mtu muhimu au mjuvi kama anavyo taka kutuambia hapa? analipwa vipesi kuwachafua Hyatt bure tuu wakati wakati kuna hotel zina bei zaidi ya hiyo.Kama viongoz wamelala acha aseme tu maana hakuna namna
Kayatoa kweli sijui wanafahamiana maana kuna vitu Recho anapatia patia hiviMiss Natafuta umeona Rachel Temu alivyokujibu??
Hana lolote wala asikutishe mataizi makali tu acha wadanganyweAisee nakumind mizigo yote ninayoitamani unaichukua kilainii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale chama pendwa kuna chimbo letu twendeni huku!..
View attachment 692558
Ndo hotel nyingi za kibongo salary laki na 20 na 50 kwa watu was service wale chefs wanalambaga laki 2 ,hiyo kwa wazawa ila wageni kuanzia laki 5 mpaka milioni kadhaa ,halafu wazawa ndo wanafanya kazi kubwa katika kuendesha shughuli zote za hotelNdio kabisa nasikia hizi hotel wazawa wanalipwa laki na nusu au laki mbili halaf wageni wanalipwa pesa ndefu kweli hapo namuunga mkono
shuu twenzetu samaki basi!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]