Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
watu wanamuogopa sana yule ana matusi ,ila sijui ana matatizo gani.kila mtu ana uhuru wa kufanya biashara yake .issue ya pricing kwenye mahoteli ni uamuzi binafsi wa hotel sio ya serikali
Unajichetua nini?
Kwani biashara za hizo hotel mbili zinakuhusu nini?