Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania.

Yusufu R H Sabura

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2020
Posts
355
Reaction score
486
Assalam alaykum jamiah .

naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari.

Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema nanyi popote tutakapokutana, nayo ni nukta ya ukurubi kwa watoto wa kike. Kwa sisi waislamu tukiwa pamoja huwa tunaita hii kitu kama shub h'a.

Watu wa sheria mtakuja kunisahihisha maana ya neno shub h'a, lakini kwa namna tunavyolitumia sisi ni kama vile lina maana ya utata. kwahio tumekuwa na desturi ya kuyaita mazingira ambayo yamekaa kwa namna kadhaa kama yanataka kuikaribisha zinaa kama mazingira ya ki-shu b'ha, naaaaaam shub h'a.

Dini yetu ya kiislamu imepiga vita mazingira yote yanayoweza kuchochea vishawishi vya kuikaribia zinaa, na ipo aya katika Qur an takatifu inayoeleza kuwa "wala msiikaribie zinaa hakika huo ni uchafu na njia iliyokuwa mbaya". ingawaje tunao washenzi wanaobadili aya na kuongeza maneno yao kwa kusema "msiikurubie zinaa ispokuwa kwa dharura", haya ni maneno ya wazinifu tu na sio qur an yetu. Lengo hapa ni kukataza vikao vya faragha kati ya watu wazima wawili wenye jinsia za tofauti yaani me & ke.

Sasa katika shule zetu za kiislamu ikiwa ni pamoja na chuo chetu cha morogoro aya hiyo huwa inatumika sana. Binafsi sijasoma MUM lakini nimesoma seminary za kiislamu, lakini pia ninao rafiki zangu ambao wapo na wamepita hapo MUM, aya hii ni kama vile ipo explicitly kwa ajili ya wanafunzi tu ! ajabu !. Sasa sisi tuliowahi kuwa wanafunzi wa reasoning hapa nitaita watukutu, tuliwahi na huwa tunajiuliza je ! are teachers or lecturers above islamic law?

Katika mazingira ya kiseminari sote tuliopita huko ni mashahidi, kwa mfano katika shule niliyopita mimi ilikuwa ukibainika umemtolea macho mtoto wa kike kwa dakika mbili mfululizo tu, halafu ukabainika, basi unaweza kujuta kilichokuleta hapa duniani. Huwa ni marufuku kumkaribia mwanamke yeyote ambaye unaweza kumshughulikia kimaumbile ndani na nje ya mipaka ya shule.

Ajabu ni kuwa wanaosimamia utekelezaji wa sheria hizo ama hizi(mhadhiri/mwalimu), utamkuta amekaa ofisini na kibinti kizuri basi kinamuitaita tu ostadh ostadh hakuna mada ya muhimu inayoendelea hapo na wapo wawili tu. Ama wakati mwingine kundi la watoto wa kike tena wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi utakuta wamemzunguka mwalimu al maaruf kama ostadh yaani hapo ajipatia joto lao tu, na wengine wanamsemea karibu na sikioni kwa makusudi tu, lakini ostadh ye aona raha tu vinywele vikimsimama ameshasahau na katazo la kukurubia zinaa. ndiyo sababu tunajiuliza ama ninyi walimu wa seminari na wa pale MUM mpo juu ya sheria za kiislamu kwamba katazo la kuikurubia zinaa haliwahusu?.

Ukweli ni kuwa sheria hii ya kukataza mazingira ya ki-shub'hat imekuja kwa waislamu wote na hakuna kategoria ya kuwa huyu ni mhadhiri na yule ni mwalimu, wote tuko obligated kuukwepa mshale wa zinaa. Hivyo basi yeyote atakayeikurubia zinaa bila kujali hadhi yake katika jamii atahesabika kama mkurubiaji na kama zipo hatua za kisheria basi zimkute bila kujali hadhi aliyonayo katika jamii.

kufuatia aya hiyo hapo juu, ninaandika hapa kwa wino wa zafarani kwamba, kundi kubwa la walimu wa kiume katika shule za kiislamu wamejitenga na aya ya kukaribia zinaa na kwamba wao ni makurubi wakubwa wa zinaa katika taasisi hizo za kielimu.

Wito wangu kwa Shule na viongozi wa shule hizo ni kwamba, zinaa sio kosa la kimungu tu, bali ni kosa hata kiserikali kwa vile;

Kukaribisha tamaa za kingono na mwanafunzi ni kosa na ukifanya itakusababishia kufungwa jela miaka thelathini kwa kuwa sheria za jamhuri zinatoa tafsiri ya ubakaji.

Lakini pia kwa vile shule hizo zimeamua kutumia sheria za kiislamu kutawala mazingira ya kishule, nawakumbusha tu kuwa sheria hizo hazijalenga kundi la wanafunzi bali kundi la waislamu wote hivyo basi, mtumishi yeyote katika shule hizo (kwa vile wote/wengi huwa ni waislamu) atakayekiuka maadili ya kiislamu basi sheria ichukue mkondo wake kulingana sheria itakavyoundwa.

Maana ya aya hiyo hapo juu ni kwamba, walimu na wahadhiri ndani ya shule za kiislamu na vyuo vyao wanaoikurubia zinaa kwa eidha kukaa faragha ama kwa kuzungukwa na watoto wa kike kwa mtindo wa ahalf to one distance, wanakiuka katazo la sheria za kiislamu la kutokuikurubia zinaa na hivyo waanze kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja.

Wako katika uandishi
Yusufu R H Sabura
0750883466/0717934194
 
Sawa Salafia tumekuelewa.
 
Sheria za mwili ni Sheria ambazo zipo kwa ajili ya kuficha maovu ya waovu, kama hao akina ustadh uliowataja kwenye bandiko lako hao Sheria za dunian zinawafanya waonekana watakatifu sana kumbe mbele za MUNGU ni wachafu na wako najisi vibaya mno

Kwahiyo bas mwanadamu haongozwi tena na Sheria za mwili, mwanadamu anaongozwa na Sheria za rohon na MWENYEZI MUNGU ni ROHO na KWELI na ndo anaongoza yote

Mjue YESU KRISTO maisha yako yawe na faida acha na uchuro wa waarabu hautakusaidia chochote kile
 
haha.hahh nashkuru kwa uchangiaji wako. karibu kwa mola wa yesu huku
 
Assalam alaykum jamiah .

naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari.

Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema nanyi popote tutakapokutana, nayo ni nukta ya ukurubi kwa watoto wa kike. Kwa sisi waislamu tukiwa pamoja huwa tunaita hii kitu kama shub h'a.

Watu wa sheria mtakuja kunisahihisha maana ya neno shub h'a, lakini kwa namna tunavyolitumia sisi ni kama vile lina maana ya utata. kwahio tumekuwa na desturi ya kuyaita mazingira ambayo yamekaa kwa namna kadhaa kama yanataka kuikaribisha zinaa kama mazingira ya ki-shu b'ha, naaaaaam shub h'a.

Dini yetu ya kiislamu imepiga vita mazingira yote yanayoweza kuchochea vishawishi vya kuikaribia zinaa, na ipo aya katika Qur an takatifu inayoeleza kuwa "wala msiikaribie zinaa hakika huo ni uchafu na njia iliyokuwa mbaya". ingawaje tunao washenzi wanaobadili aya na kuongeza maneno yao kwa kusema "msiikurubie zinaa ispokuwa kwa dharura", haya ni maneno ya wazinifu tu na sio qur an yetu. Lengo hapa ni kukataza vikao vya faragha kati ya watu wazima wawili wenye jinsia za tofauti yaani me & ke.

Sasa katika shule zetu za kiislamu ikiwa ni pamoja na chuo chetu cha morogoro aya hiyo huwa inatumika sana. Binafsi sijasoma MUM lakini nimesoma seminary za kiislamu, lakini pia ninao rafiki zangu ambao wapo na wamepita hapo MUM, aya hii ni kama vile ipo explicitly kwa ajili ya wanafunzi tu ! ajabu !. Sasa sisi tuliowahi kuwa wanafunzi wa reasoning hapa nitaita watukutu, tuliwahi na huwa tunajiuliza je ! are teachers or lecturers above islamic law?

Katika mazingira ya kiseminari sote tuliopita huko ni mashahidi, kwa mfano katika shule niliyopita mimi ilikuwa ukibainika umemtolea macho mtoto wa kike kwa dakika mbili mfululizo tu, halafu ukabainika, basi unaweza kujuta kilichokuleta hapa duniani. Huwa ni marufuku kumkaribia mwanamke yeyote ambaye unaweza kumshughulikia kimaumbile ndani na nje ya mipaka ya shule.

Ajabu ni kuwa wanaosimamia utekelezaji wa sheria hizo ama hizi(mhadhiri/mwalimu), utamkuta amekaa ofisini na kibinti kizuri basi kinamuitaita tu ostadh ostadh hakuna mada ya muhimu inayoendelea hapo na wapo wawili tu. Ama wakati mwingine kundi la watoto wa kike tena wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi utakuta wamemzunguka mwalimu al maaruf kama ostadh yaani hapo ajipatia joto lao tu, na wengine wanamsemea karibu na sikioni kwa makusudi tu, lakini ostadh ye aona raha tu vinywele vikimsimama ameshasahau na katazo la kukurubia zinaa. ndiyo sababu tunajiuliza ama ninyi walimu wa seminari na wa pale MUM mpo juu ya sheria za kiislamu kwamba katazo la kuikurubia zinaa haliwahusu?.

Ukweli ni kuwa sheria hii ya kukataza mazingira ya ki-shub'hat imekuja kwa waislamu wote na hakuna kategoria ya kuwa huyu ni mhadhiri na yule ni mwalimu, wote tuko obligated kuukwepa mshale wa zinaa. Hivyo basi yeyote atakayeikurubia zinaa bila kujali hadhi yake katika jamii atahesabika kama mkurubiaji na kama zipo hatua za kisheria basi zimkute bila kujali hadhi aliyonayo katika jamii.

kufuatia aya hiyo hapo juu, ninaandika hapa kwa wino wa zafarani kwamba, kundi kubwa la walimu wa kiume katika shule za kiislamu wamejitenga na aya ya kukaribia zinaa na kwamba wao ni makurubi wakubwa wa zinaa katika taasisi hizo za kielimu.

Wito wangu kwa Shule na viongozi wa shule hizo ni kwamba, zinaa sio kosa la kimungu tu, bali ni kosa hata kiserikali kwa vile;

Kukaribisha tamaa za kingono na mwanafunzi ni kosa na ukifanya itakusababishia kufungwa jela miaka thelathini kwa kuwa sheria za jamhuri zinatoa tafsiri ya ubakaji.

Lakini pia kwa vile shule hizo zimeamua kutumia sheria za kiislamu kutawala mazingira ya kishule, nawakumbusha tu kuwa sheria hizo hazijalenga kundi la wanafunzi bali kundi la waislamu wote hivyo basi, mtumishi yeyote katika shule hizo (kwa vile wote/wengi huwa ni waislamu) atakayekiuka maadili ya kiislamu basi sheria ichukue mkondo wake kulingana sheria itakavyoundwa.

Maana ya aya hiyo hapo juu ni kwamba, walimu na wahadhiri ndani ya shule za kiislamu na vyuo vyao wanaoikurubia zinaa kwa eidha kukaa faragha ama kwa kuzungukwa na watoto wa kike kwa mtindo wa ahalf to one distance, wanakiuka katazo la sheria za kiislamu la kutokuikurubia zinaa na hivyo waanze kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja.

Wako katika uandishi
Yusufu R H Sabura
0750883466/0717934194
Umeandika jambo moja kwa kujirudiarudia sana ili tu uwachoshe wau wasisome hadi mwisho. Mimi nimekomaa nikasoma hadi mwisho ili tu nikukomoe.
Nilichokielwa kwenye uzi wako, kuna ujumbe umeuficha sana. Kwa mujibu wako uliofichika ni kwamba, Mwislam wa kweli anatakiwa awe khanithi
 
duh ! hapana hicho sio kigezo cha kuwa muislam wa kweli, soma andiko vizuri na kausome uislamu vizuri
 
Kuna mambo mengi maovu zaidi ya zin,aa yanayotendeka kwa wingi sana Uislamuni, na hayo ni kama vile ushirikina, uchawi, n.k.
 
Unaweza kuwa na hoja, muhimu omba sana katika imani yako kuepuka hii tamaa ya kuzini,
Wengine wapo huko Chuo cha Mafunzo / Magereza wengine washahukumiwa maisha , wengine miaka 30, wengine wanasubiria hukumu zao .

Walikuwa walimu wa hizi mnaita madrasa na huko unajua umri wa Bint/ Vijana wetu ,

Ukiingia tamaa tu na ushahidi ukatolewa pasi na kuacha shaka nyundo za kutosha zinakuhusu.
 
Back
Top Bottom