Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania.

Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania.

Siku nyingine uwe na akili, mimi hapa nazungumzia UTAWALA WA SHERIA katika maeneo yetu ya kidini.
tena karne yetu ya 21 inapenda sana utawala wa sheria kuliko karne zote so huna hoja. soma upya
Hatuhitaji utawala wa sharia Tanzania, hauwezekani, vumilia tu.
 
haya shikilia hapo kwanza, hao wachungaji wachache uwajuao je ni yesu kristo aliewatunuku uchawi na nguvu nyeusi?
pia niambie ni imamu au sheikh gani amewahi kusikika ati yupo kwenye mimbari (madhabahu) akiwa katika hali ya kushika uchawi !. bila shaka wachungaji wapo na mnawataja kila siku
Ukweli ni kwamba Uislamuni kuna unafiq mkubwa zaidi na hata nyie mnajuana kwa hilo na kwa mambo ya shirk mpo vizuri sana.
 
Haya ndio mambo Zakir Naik atakuja kukazia.
Tungeshangaa tusingekuona hapa we jitu zima hovyo… udini na ubaguzi tu umekujaa. Ukilala, ukiamka, ukila, ukinya, ukioga, ukikimbia unawaza chadema tu 😂

HOVYO KABISA!
 
Huwezi kumtenga mwanaume kamili na mwanamke, ukimtenga na mwanamke na ukafanikiwa jua huyo siyo mwanaume kamili. Hivyo hivyo kwa wanawake huwezi kuwatenganisha wanawake kamili na wanaume..


Nb.. shule nyingi za kidini/ zile za jinsia moja zinachochea ushoga na usagaji
Shule gani inachochea Ushoga na Usagaji… ?!?!

ukiwekwa kizuizini uipe ushahidi Mamlaka unayo ya kusema kama ushahidi?! Hivi kweli shule ya kitanzania na ya watanzania iunge mkono Ushoga na usagaji?! 😳😳😳

Naam! We ropoka tu kwa sababu umeshiba… ukihitajika usisite kuitika na kutoa ushirikiano stahiki 😊
 
ingawaje tunao washenzi wanaobadili aya na kuongeza maneno yao kwa kusema "msiikurubie zinaa ispokuwa kwa dharura"
Walishaona ni vigumu ku control nature ndiyo maana wakalegeza kidogo, hii niliisikia kwa Sheikh Kipozeo
 
Assalam alaykum jamiah .

naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari.

Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema nanyi popote tutakapokutana, nayo ni nukta ya ukurubi kwa watoto wa kike. Kwa sisi waislamu tukiwa pamoja huwa tunaita hii kitu kama shub h'a.

Watu wa sheria mtakuja kunisahihisha maana ya neno shub h'a, lakini kwa namna tunavyolitumia sisi ni kama vile lina maana ya utata. kwahio tumekuwa na desturi ya kuyaita mazingira ambayo yamekaa kwa namna kadhaa kama yanataka kuikaribisha zinaa kama mazingira ya ki-shu b'ha, naaaaaam shub h'a.

Dini yetu ya kiislamu imepiga vita mazingira yote yanayoweza kuchochea vishawishi vya kuikaribia zinaa, na ipo aya katika Qur an takatifu inayoeleza kuwa "wala msiikaribie zinaa hakika huo ni uchafu na njia iliyokuwa mbaya". ingawaje tunao washenzi wanaobadili aya na kuongeza maneno yao kwa kusema "msiikurubie zinaa ispokuwa kwa dharura", haya ni maneno ya wazinifu tu na sio qur an yetu. Lengo hapa ni kukataza vikao vya faragha kati ya watu wazima wawili wenye jinsia za tofauti yaani me & ke.

Sasa katika shule zetu za kiislamu ikiwa ni pamoja na chuo chetu cha morogoro aya hiyo huwa inatumika sana. Binafsi sijasoma MUM lakini nimesoma seminary za kiislamu, lakini pia ninao rafiki zangu ambao wapo na wamepita hapo MUM, aya hii ni kama vile ipo explicitly kwa ajili ya wanafunzi tu ! ajabu !. Sasa sisi tuliowahi kuwa wanafunzi wa reasoning hapa nitaita watukutu, tuliwahi na huwa tunajiuliza je ! are teachers or lecturers above islamic law?

Katika mazingira ya kiseminari sote tuliopita huko ni mashahidi, kwa mfano katika shule niliyopita mimi ilikuwa ukibainika umemtolea macho mtoto wa kike kwa dakika mbili mfululizo tu, halafu ukabainika, basi unaweza kujuta kilichokuleta hapa duniani. Huwa ni marufuku kumkaribia mwanamke yeyote ambaye unaweza kumshughulikia kimaumbile ndani na nje ya mipaka ya shule.

Ajabu ni kuwa wanaosimamia utekelezaji wa sheria hizo ama hizi(mhadhiri/mwalimu), utamkuta amekaa ofisini na kibinti kizuri basi kinamuitaita tu ostadh ostadh hakuna mada ya muhimu inayoendelea hapo na wapo wawili tu. Ama wakati mwingine kundi la watoto wa kike tena wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi utakuta wamemzunguka mwalimu al maaruf kama ostadh yaani hapo ajipatia joto lao tu, na wengine wanamsemea karibu na sikioni kwa makusudi tu, lakini ostadh ye aona raha tu vinywele vikimsimama ameshasahau na katazo la kukurubia zinaa. ndiyo sababu tunajiuliza ama ninyi walimu wa seminari na wa pale MUM mpo juu ya sheria za kiislamu kwamba katazo la kuikurubia zinaa haliwahusu?.

Ukweli ni kuwa sheria hii ya kukataza mazingira ya ki-shub'hat imekuja kwa waislamu wote na hakuna kategoria ya kuwa huyu ni mhadhiri na yule ni mwalimu, wote tuko obligated kuukwepa mshale wa zinaa. Hivyo basi yeyote atakayeikurubia zinaa bila kujali hadhi yake katika jamii atahesabika kama mkurubiaji na kama zipo hatua za kisheria basi zimkute bila kujali hadhi aliyonayo katika jamii.

kufuatia aya hiyo hapo juu, ninaandika hapa kwa wino wa zafarani kwamba, kundi kubwa la walimu wa kiume katika shule za kiislamu wamejitenga na aya ya kukaribia zinaa na kwamba wao ni makurubi wakubwa wa zinaa katika taasisi hizo za kielimu.

Wito wangu kwa Shule na viongozi wa shule hizo ni kwamba, zinaa sio kosa la kimungu tu, bali ni kosa hata kiserikali kwa vile;

Kukaribisha tamaa za kingono na mwanafunzi ni kosa na ukifanya itakusababishia kufungwa jela miaka thelathini kwa kuwa sheria za jamhuri zinatoa tafsiri ya ubakaji.

Lakini pia kwa vile shule hizo zimeamua kutumia sheria za kiislamu kutawala mazingira ya kishule, nawakumbusha tu kuwa sheria hizo hazijalenga kundi la wanafunzi bali kundi la waislamu wote hivyo basi, mtumishi yeyote katika shule hizo (kwa vile wote/wengi huwa ni waislamu) atakayekiuka maadili ya kiislamu basi sheria ichukue mkondo wake kulingana sheria itakavyoundwa.

Maana ya aya hiyo hapo juu ni kwamba, walimu na wahadhiri ndani ya shule za kiislamu na vyuo vyao wanaoikurubia zinaa kwa eidha kukaa faragha ama kwa kuzungukwa na watoto wa kike kwa mtindo wa ahalf to one distance, wanakiuka katazo la sheria za kiislamu la kutokuikurubia zinaa na hivyo waanze kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja.

Wako katika uandishi
Yusufu R H Sabura
0750883466/0717934194
ndugu yangu, kushinda dhambi bila kumpokea Yesu Kristo moyoni ni ngumu, hamtaweza kuushinda uzinzi hata wakiweka sheria kubwa kiasi gani. ili kujua hilo, waambie wafanye practicle, wachukue mabinti hao unasoma nao 20 tu, wakawapime bikra. nakuhakikishia wote mtihani huo watafeli, na kwa upande wa hiyo dini yenu, hata bikra za sehemu za haja kubwa (kama mnavyodai) watafeli mtihani. hili nakuhakikishia.

why? kwa sababu hapo zamani za kale, hao hao wenye ushungi, wenye tintedi, wengi sana ndio walikuwa watu wangu, ni waongo balaa, wanajifanya dini kwenye mavazi ila kwengine hamna lolote. na kwa sababu ya kulimbikiza mavazi huwa wananuka kikwapa balaa wakizivua hizo.
 
Yaani waislamu sijui wanamatatizo gani, hawaheshimiani, hawaheshimu viongozi wao, hawaheshimu dini zingine wala hawaheshimu madhehebu mengine wala uhuru wa mtu mwingine. Unatakq ushahidi, Ona hili andiko.
 
Yaani waislamu sijui wanamatatizo gani, hawaheshimiani, hawaheshimu viongozi wao, hawaheshimu dini zingine wala hawaheshimu madhehebu mengine wala uhuru wa mtu mwingine. Unatakq ushahidi, Ona hili andiko.
Karibu Zakayo, kwenye Hilo andiko ambaye hajaheshimiwa ni nani?
 
ndugu yangu, kushinda dhambi bila kumpokea Yesu Kristo moyoni ni ngumu, hamtaweza kuushinda uzinzi hata wakiweka sheria kubwa kiasi gani. ili kujua hilo, waambie wafanye practicle, wachukue mabinti hao unasoma nao 20 tu, wakawapime bikra. nakuhakikishia wote mtihani huo watafeli, na kwa upande wa hiyo dini yenu, hata bikra za sehemu za haja kubwa (kama mnavyodai) watafeli mtihani. hili nakuhakikishia.

why? kwa sababu hapo zamani za kale, hao hao wenye ushungi, wenye tintedi, wengi sana ndio walikuwa watu wangu, ni waongo balaa, wanajifanya dini kwenye mavazi ila kwengine hamna lolote. na kwa sababu ya kulimbikiza mavazi huwa wananuka kikwapa balaa wakizivua hizo.
Umeshiba ugali karibu tena
 
Back
Top Bottom