Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania.

Kuna mambo mengi maovu zaidi ya zin,aa yanayotendeka kwa wingi sana Uislamuni, na hayo ni kama vile ushirikina, uchawi, n.k.
Umeandika kana kwamba uislamu unafundisha ushirikina na uchawi na zinaa. sio sahihi
 
Ukuda mno 😀😀
 
Ndo maana mnauana huko mashariki ya kati
 
Nafikiri wengi wa masheikhe ni watu wanaofanya shirk sana pia ni waganga wa kienyeji na hata walozi.
Uchawi na ushirikina ni tabia ya mtu binafsi sio dini.
hata wakristo wa namna hiyo wapo je tuseme ukristo umewafundisha uchawi na ulozi?
 
Uchawi na ushirikina ni tabia ya mtu binafsi sio dini.
hata wakristo wa namna hiyo wapo je tuseme ukristo umewafundisha uchawi na ulozi?
Ni kweli hata kwenye Ukristo kuna wachungaji wenye kutumia nguvu za giza ila kwenye Uislamu naona mambo hayo ni mengi zaidi.
 
Ni kweli hata kwenye Ukristo kuna wachungaji wenye kutumia nguvu za giza ila kwenye Uislamu naona mambo hayo ni mengi zaidi.
haya shikilia hapo kwanza, hao wachungaji wachache uwajuao je ni yesu kristo aliewatunuku uchawi na nguvu nyeusi?
pia niambie ni imamu au sheikh gani amewahi kusikika ati yupo kwenye mimbari (madhabahu) akiwa katika hali ya kushika uchawi !. bila shaka wachungaji wapo na mnawataja kila siku
 
Ni msaada walipewa na Mkapa majengo ya Tanesko pale morogoro.

Uwezo wala wazo la kujenga chuo kikuu hawana,zaidi ya kufuga ndevu na kulilia tende harua na maziwa ya ngamia toka arabia.
Kwanini mnaumia kobazi tukiwa na chuo chetu?
 
kwanini ndugu Yoda
Maisha unayotaka wewe hayawezekani tena karne hii ya globalisation. Karne ya 7 watu walikuwa wanaishi kikabila na kidini kwa hiyo mambo mengi yaliwezekana pia kwa msingi huo. Sasa mfano kiongozi wa kike wa chuo cha kiislamu unakuta anaendeshwa na dereva wa kiume, kwenye gari si watakuwa wawili tu.
 
Siku nyingine uwe na akili, mimi hapa nazungumzia UTAWALA WA SHERIA katika maeneo yetu ya kidini.
tena karne yetu ya 21 inapenda sana utawala wa sheria kuliko karne zote so huna hoja. soma upya
 
Umeandika kweli tupu katika nb yako, ni kweli huwezi kuwatenganisha lakini sheria yetu inataka watu waoane ndo wakae hivyo wanavyotaka, lengo ni kuepusha uzinifu of which dini zote na hata tamaduni za kiafrika hazishabikii
 
Nimekusoma Sheikh wangu. Umetoa ilim mujarab kabisa. Inshallah utaongezewa thwawabu zako akhera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…