Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
Kwahiyo mvua ikinyesha tuzitupe simuKuna jamaa bado kidogo ang’olewe pumbu radi imepiga ule usawa alioweka simu mfukoni
mwili wa binadamu unapitisha umeme, hapo simu ilitoka nzima labda kama aliiangukiaKuna jamaa bado kidogo ang’olewe pumbu radi imepiga ule usawa alioweka simu mfukoni
sina uwakika juu ya simu za mkononi ila kwa landline uwaga radi zinasafili na copper cableTuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
ukiwa ndani ya nyumba na simu yako hujaiweka chaji huna cha kuhofia. Radi inatafuta pa kupitishia umeme, na sehehmu ya juu kabisa yenye uwezo wa kupitisha umeme haiwezi kuwa ndani ya nyumba yako.Kwani simu haitumii umeme? Wewe unadhani battery ni nini kama sio umeme?
Mkuu naona umesahau kwamba cm inatumia umemeTuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
Hivi radi huwa inapiga sehemu gani hadi unakuta mtu analalamika kuwa vitu vya ndani vimeungua sababu ya radi.ukiwa ndani ya nyumba na simu yako hujaiweka chaji huna cha kuhofia. Radi inatafuta pa kupitishia umeme, na sehehmu ya juu kabisa yenye uwezo wa kupitisha umeme haiwezi kuwa ndani ya nyumba yako.
internet, kupiga simu mawimbi yake hayapiti ambapo radi inapita, ukiwa ndani ya nyumba na radi inapiga nje unaweza kuongea kwa simu au kutumia internet bila kudhurika na radi ya nje.Mkuu naona umesahau kwamba cm inatumia umeme
radi ni umeme, kwa hiyo inapita kwenye njia za umeme, kama kuna radi nje vifaa vilivyoungwa kwenye umeme vitadhurika (radio, tv n.k) kwahiyo ni bora ukachomoa vifaa vya umeme kutoka kwenye switch mpaka ziisheHivi radi huwa inapiga sehemu gani hadi unakuta mtu analalamika kuwa vitu vya ndani vimeungua sababu ya radi.
Dah....umeandika pointi ya maana....Ila umeijenga kwa hoja za kipuuzi....natanguliza samahani zangu za dhati [emoji2960]Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
Ndugu achana kabisa na kitu kinachoitwa Radi. nakumbuka kuna mwaka mazungu walifunga mtambo wa PBX (mtambo wa mawasiliano)kwenye halmashauri ya Morogoro.walifunga na vitu flani vinaitwa Arrester ili kuzuia Radi.Kuna siku ilipiga Radi ya hatari, ikaondoka na mtambo pamoja na Arrester zenyewe zilizokuwa zinazuia Radi.Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
ni kweli mkuu nakubaliana na wewe sehemu kama za IRINGA ama sehemu zenye radi sana unapofunga pbx yakupasa kufunga na Arrester uwa zinasaidia kwa namna flan ila radi inapozidi uwa Arrester zinazidiwa piaNdugu achana kabisa na kitu kinachoitwa Radi. nakumbuka kuna mwaka mazungu walifunga mtambo wa PBX (mtambo wa mawasiliano)kwenye halmashauri ya Morogoro.walifunga na vitu flani vinaitwa Arrester ili kuzuia Radi.Kuna siku ilipiga Radi ya hatari, ikaondoka na mtambo pamoja na Arrester zenyewe zilizokuwa zinazuia Radi.
Kifupi ni kwamba hakuna kifaa kinachokupa uwakika wa 100% kwenye kuzuia Radi