Radi za leo zimeniacha na kicheko/uzuni

Radi za leo zimeniacha na kicheko/uzuni

moi wa kitaa

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
931
Reaction score
940
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu

Sasa kilichofatia hapo ni kituko maana nimeouna mzee mmoja namfaham ni kiwete kwa miaka mingi tu na anatembelea kibaiskel cha viwete (wheal chair) ikapiga radi ya kwanza mzee kauchuna we ikapiga ya pili naona mzee kainuka mbio ndani kiukwel mpaka muda huu celew HII IMETOKEA MITAA YA SALASALA

MIMI SIO MWANDISHI MZURI MNISAMEHE TU
 
He it is Who causes you to see lightning that inspires you with both fear and hope, and He it is Who whips up heavy clouds.
13:12 Quran
 
Mzee kapokea uponyaji kupitia radi🤣🤣🤣😃
 
Hizi radi aisee.. nikadhan zinaniijia kunimaliza na uzinifu wangu sababu ngoma ilipiga dirishani nipo lodge ule mwanga hadi ukapenya kwenye alminium nikauona ndani, na ilipiga double hadi genye likakata nikaanza kufikiria utaratibu wa kusali. Nmekuja kumalizia game asbh hii
 
Mimi sijasikia radi Wala mvua usiku[emoji28][emoji28] ama kweli nausingizi mubaya
 
Back
Top Bottom