moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu
Sasa kilichofatia hapo ni kituko maana nimeouna mzee mmoja namfaham ni kiwete kwa miaka mingi tu na anatembelea kibaiskel cha viwete (wheal chair) ikapiga radi ya kwanza mzee kauchuna we ikapiga ya pili naona mzee kainuka mbio ndani kiukwel mpaka muda huu celew HII IMETOKEA MITAA YA SALASALA
MIMI SIO MWANDISHI MZURI MNISAMEHE TU