Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

Ni Makamba ama Zitto aliyetoa statement hiyo? I can't recall. Ila nakumbuka Januari Makamba naye aliandika mudhui kama hayo kwenye twitter
Nchi tumeikabidhi kwa washamba na malimbukeni. By Zitto Kabwe
 
Tatizo ni pale, Habari inayohusu upinzani tu, ndo inaonekana kuvunja kanuni! Kwanini Musiba na Tanzanite yake hawaonekani kuvunja kanuni, wakitukana na kuzushia watu!?
 
Kama jambo LA mizania, gazeti LA musiba lingeshafungwa kitambo sana, hawa TCRA in tawi LA ccm
 
Tatizo ni pale, Habari inayohusu upinzani tu, ndo inaonekana kuvunja kanuni! Kwanini Musiba na Tanzanite yake hawaonekani kuvunja kanuni, wakitukana na kuzushia watu!?
Ngoja tuwape muda wahusika ukute wanafuatilia YouTube kuna channel luluki za watanzania ambazo uwasilishaji wake utata.

Muhimu ni kuanza na mainstream media zenye audience ya millions at anytime.
 
Ngoja tuwape muda wahusika ukute wanafuatilia YouTube kuna channel luluki za watanzania ambazo uwasilishaji wake utata.

Muhimu ni kuanza na mainstream media zenye audience ya millions at anytime.
Tatizo la sheria kandamizi, ni siku CCM watakua wapinzani!
 
Mkuu unamanisha ata wazanzibar waluopigwa risasi na Serikali ya Mkapa chanzo ni vyombo vya nje?

Kwanini usishauri Serikali iandae kitabu rasmi chenye maneno ambayo wananchi inabidi wawe wanayaongea ayo tu kama King Charles alivyo wafanyia waingereza na English Prayers Book
 
Hebu jiulize, hivi wakati Jiwe anawatuhumu wapinzani kuwa watavunja madaraja aliyojenga yeye iwapo wananchi watawapa kura na kuingia madarakani, je vyombo vya habari vilikwenda kuwahoji viongozi wa upinzani kabla ya kuzitangaza?

Hii nchi inakokwenda kwa sasa ni kubaya sana!
 
Kunakiongozi mmoja aliseme hofu ni mbaya kuliko ugojwa,

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la sheria kandamizi, ni siku ccm watakua wapinzani!
Malengo yamewekwa wazi ikiwa ni impartiality: na wame elezewa ni kwa namna zipi uwasilishaji utakuwa umevunja kanuni.

Nakubali hakuna consistency kwenye usimamizi lakini kwa kesi husika Radio Free wamevunja kanuni.

Mchana mwema mkuu.
 
Ujinga tu! Nchi gani ambayo haina mizania ya utoaji habari? Tatizo ni watu kama wewe na wenye waandishi Kanjanja. Vijana wa BBC nao hoi kuna wakati wanakuwa mashabiki wa habari za nyumbani bila kuheshimu sheria.
Hiyo habari yenyewe hao viongozi wako wa serikali, kina Dkt Abbas, wanafunga simu zao kwa kukwepa kuulizwa maswali.............

Sasa hapo mwandishi wa habari wa BBC unategemea afanyeje, kama siyo kutangaza habari ya upande mmoja?
 
Nimeipenda saini ya Mary Gumbo.
===
Sheria zifuatwe kwa utengamano thabiti wa jamii.
 
Hii ni nchi ya kishamba sana mpaka wengine tunaona aibu kujiita watz kwa uongozi huu wa hovyo sana
Mkuu Tanzania si nchi ya kishamba Ila washamba ni hawa viongozi wetu wa awamu hii and we have all the power ya kuwatoa either kwa kura au kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…